bbc

  1. Tetesi: Waihiga Mwaura kuwa Mrithi wa Salim Kikeke BBC

    Baada ya Salimu Kikeke kutangaza rasmi kustaafu kazi ya utangazaji pale BBC swali kubwa lilikua nani mrithi wake? Kutoka The Citizen Tv ya nchini Kenya hadi BBC ni ndugu Waihiga Mwaura(38) ambaye amehudumu The Citizen Tv kwa miaka kumi na nne(14) ndio anayeenda kuirithi nafasi ya Salim Kikeke.
  2. Taarifa za uongo kutoka BBC

    Jioni hii nilikuwa nasikiliza habari za dira ya dunia nimemsikia muandishi wa habari David Nkya, akisema yupo kambi la wakimbizi la Mtendeli iliyopo Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma Kwanza hilo kambi halipo, tulilifunga miaka mitatu iliyopita. Akaongeza uongo wake kuwa Tanzania ina makambi...
  3. S

    BBC: Special forces toka Marekani, Uingereza, na nchi za NATO wanapigana vita Ukraine, lakini wameshindwa kuikomboa Ukraine

    Documents zilizoliki za Pentagon zimeonesha kuwa wanajeshi wa vikosi maalumu toka Marekani, Uingereza, na nchi nyingine za NATO wapo uwanja wa vita Ukraine wakipigana na masecurity guards wa Urusi (wargner group). Cha kusikitisha na kuhuzunisha ni kuwa kwa zaidi ya mwaka sasa vikosi hivyo...
  4. B

    Mahojiano ya BBC na Waziri Tax yalipokwenda mrama

    Hii ilikuwa interview ikisikilizwa duniani kuhusu ujio wa makamu wa rais wa Marekani: Ama kwa hakika shughuli ipo. Labda itabidi kuomba mwongozo kufahamu ni sehemu ipi kama ipo tunayofanya vizuri. Ya CAG nani hajayasikia?
  5. BBC waomba Radhi kwa Sauti iliyosikika ya Watu wakifanya Mapenzi wakati wa Matangazo ya Mpira jana Usiku

    Hakika ile Sauti iliyoingilia Matangazo ya Moja kwa Moja ya BBC ya Mechi ya FA Cup jana ya Liverpool FC ya Watu wakitinduana (wakifanya) Mapenzi (Ngono) ilituathiri hadi na Sisi Wengine wapenda 'Mbunye' na Kulazimika kuacha kufuatilia Matangazo yao BBC na kuanza nasi kuwatafuta watakaopatikana...
  6. BBC wampa Messi tuzo yao ya mwaka huu 2022

    Messi anaendelea kunyakua kila tuzo inayopita mbele yake. BBC nao wamempatia ya mwaka huu. Ballon d'or ya nane iko njiani.
  7. P

    Mbali na kukaa BBC miaka kibao! Naye hawezi kumshauri Rais? Watanzania na mkate!!? Mmh

    Nchi imekwama, kila kitu kimekwama, si maji wala umeme, si mvua wala chakula, si biashara wala viwanda, Kila unapogusa pa moto, Alipoteuliwa huyu dada yetu jina kapuni kwenda kukaa Ikulu yetu kutokea hapo BBC nikajua walau mambo yatakuwa sawa, tutatembea ki Uwingereza wingereza! Kipindi cha...
  8. P

    Naomba kujua frequency za BBC FM hapa Dar

    Naomba kujua frequency za BBC FM hapa Dar
  9. BBC: Urusi haitaruhusu tena meli za chakula kutoka Ukraine

    Inasemekana meli za chakula hazipeleki kunako stahili bali huchepuka na kupeleka chakula hicho kwenye nchi za Ulaya. Sasa kawabania gas na tena anawabania chakula hasa ngano.
  10. Baadhi ya taarifa za BBC zinakera. Huenda ni mkakari mbaya wa waingereza

    Kwa wale wenye mazoea kusikiliza bbc kiswahili utagundua pamoja na taarifa sahihi ziko taarifa nyingine ni kwa malengo maalum. Kuna upendeleo dhidi kwa namna mambo ya kisiasa na kitamaduni wa nchi zinazoandamwa na uingereza na nchi za magharibi kwa ujumla. Pia mara nyingi zipo taarifa hazina...
  11. B

    BBC English

    As I promised last time, today we want to see the difference btn BRING/GIVE a) BRING: This is used when something is not in hand of a person talking to. Eg. When you need drinking water you should say "Bring me some water, NOT, Give me some water. b) GIVE: This is used when something is in the...
  12. B

    Kama una jambo lolote linalokusumbua la KIINGEREZA uliza ujibiwe

    Kwa wiki hii km una jambo lolote linalokusumbua la KIINGEREZA uliza ujibiwe. Kuanzia wiki ijayo nitakuwa naweka mada za KIINGEREZA zinazotamumetiza watu. usikose uhondo Jifunze KIINGEREZA hapa. E.g. people fail to differentiate the usage of "give and bring". They treat these lexical verbs as...
  13. Mamlaka za Somali Land zasitisha shughuli za BBC katika eneo hilo

    Mamlaka katika eneo hilo lililojitenga la Somalia, zimesitisha shughuli za Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), likishutumu shirika hilo kwa kudhoofisha uaminifu wa taifa hilo. BBC ina mtandao wa wanahabari wanaofanya kazi kote Somalia ikiwemo katika eneo hilo pia Waziri wa Habari...
  14. BBC: Putin hakutarajia haya yatafanyika alipoivamia Ukraine

    Putin hakutarajia haya yatafanyika alipoivamia Ukraine CHANZO CHA PICHA, REUTERS Tarehe 24 Februari 2022, Urusi iliivamia Ukraine katika hatua iliyozidisha mzozo wake nan chi hiyo Jirani tangu kuanza kwa usahama mwaka wa 2014 Uvamizi huo ulisababisha mzozo mkubwa zaidi wa wakimbizi barani...
  15. M

    Historia ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC

    ''Hii ni London. Leo kwa mara ya kwanza kabisa BBC inawapa salamu wakazi wa Afrika mashariki kwa lugha yao. Asalaam Aleikum,"sauti tulivu ya Oscar Kambona ilisikika hewani miaka 65 iliyopita. Idhaa mpya ikawa imezaliwa - Idhaa ya Kiswahili ya BBC. Kambona alikuwa mwanafunzi kutoka Tanzania...
  16. Journalism Trainer/Mentor at BBC Media Action

    Position: Journalism trainer/mentor BBC Media Action BBC Media Action is the BBC’s international charity . Location: Dar es Salaam, Tanzania Reports to: Senior mentor/trainer Duration: 12 months (with possible extension) Special requirements: The right to live and work in Tanzania. Fluent...
  17. Commercial mentor/trainer at BBC Media Action

    Position: Commercial mentor/trainer Dar es Salaam BBC Media Action BBC Media Action is the BBC’s international charity . Reports to: Senior mentor/trainer Duration: 12 months (with possible extension) Special requirements: The right to live and work in Tanzania. Fluent in written and...
  18. Natatizwa na BBC kuhusu Kiswahili

    Wakuu, hivi sasa BBC Swahili inaadhimisha miaka kama sikosei 67 ya kuanzishwa kwake. Tatizo nimeliona ni mtangazaji aliyejikita Zanzibar akisema Kiswahili ndipo kilipoanzia. Mie, natambua Kiswahili chimbuko lake ni Lamu nchini Kenya sasa kama ni mwendelezo wa upotoshaji unaoendelea ni hatari...
  19. Rais Samia ni mpenda sifa kuliko hata Hayati Magufuli

    Ni lini Samia awapo Tanzania Ikulu haikuwa hewani? Nikumbushwe huenda nimesahau. Hakika sikumbuki. Tangu awe Rais kwa bahati mbaya dada huyo kila uchwao awapo Tanzania ni lazima Ikulu iwe mbashara kwenye Tv ama yeye mwenyewe akihudhuria jambo fulani hata kama halina sifa za uwepo wake ama...
  20. Wahenga tyme (born before computers (bbc): 1970s, 1980s & 1990s

    πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ A. MABINGWA WA BREAK-DANCE TZ 1. Black Moses 2. Mzee Bachu 3. Ommy Sydney 4. Salma Sweet Kajela 5. Athuman Digadiga "Double D " 6. Jimmy To London 7. Bosco Aidan Cool J 8. Super Ngedere 9. Abdul Shalamar 10. Abel Siwale 11. Patrick Chiume "TASS" 12. Kamal Mabobish 13...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…