Kama huyu niliyemsikiliza akihojiwa BBC ndiye Kamanda wa Polisi Dar, basi kuna tatizo kubwa

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
11,200
Reaction score
17,670
Nimesikiliza kamanda wa polisi akijibu maswali ya muandishi Regina wa BBC jioni hii, majibu yake yamenisikitisha sana.

Hajui anaishi katika dunia ipi. Ana majibu ya kitoto sana na kama huyu ndiye mwenye nafuu kati ya mapolisi, basi kuna tatizo kwenye uteuzi na mafunzo ya askari wetu.
 
Kasemaje, tandaza points zake tuzichakate hapa.
 
Nimesikiliza kamanda wa polisi akijibu maswali ya muandishi Regina wa BBC jioni hii, majibu yake yamenisikitisha sana.

Hajui anaishi katika dunia ipi. Ana majibu ya kitoto sana na kama huyu ndiye mwenye nafuu kati ya mapolisi, basi kuna tatizo kwenye uteuzi na mafunzo ya askari wetu.
Unaleta habari kama wote tumemsikiliza. Weka hapa hayo majibu na maswali ndo tuelewe point yako
 
Aisee hata mimi nilikuwa nasikiliza mahojiano hayo.
Kaongea ujinga mtupu.
Eti walikuwa wanafanya ulinzi wa kawaida na watu walikuwa wanawafurahia kuna nyumba waligonga milango wakafunguliwa vizuri wakapongezwa kwa kazi yao nzuri ,
Ana shangaa kwa nini nyumbani kwa lisu waligoma kuwafungulia wakati walikuwa kwenye ulinzi wa kawaida waliwagongea ili kufahamu kama wanatatizo
 
Nimesikiliza kamanda wa polisi akijibu maswali ya muandishi Regina wa BBC jioni hii, majibu yake yamenisikitisha sana.

Hajui anaishi katika dunia ipi. Ana majibu ya kitoto sana na kama huyu ndiye mwenye nafuu kati ya mapolisi, basi kuna tatizo kwenye uteuzi na mafunzo ya askari wetu.
Mtapigwa tu

Sheria haina huruma
 
Back
Top Bottom