TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Kapigwa spana ukiona hivyo!Unaleta habari kama wote tumemsikiliza. Weka hapa hayo majibu na maswali ndo tuelewe point yako
Kapigwa spana ukiona hivyo!Unaleta habari kama wote tumemsikiliza. Weka hapa hayo majibu na maswali ndo tuelewe point yako
Ana majibu ya kitoto lakini ni RPC Kanda Maalum. Wewe mwenye majibu ya kiutu uzima hata hujui leo utakula nini! Ahahahahaha!!Nimesikiliza kamanda wa polisi akijibu maswali ya muandishi Regina wa BBC jioni hii, majibu yake yamenisikitisha sana.
Hajui anaishi katika dunia ipi. Ana majibu ya kitoto sana na kama huyu ndiye mwenye nafuu kati ya mapolisi, basi kuna tatizo kwenye uteuzi na mafunzo ya askari wetu.
Ukiwa na kiongozi mkuu mwerevu, tarajia watakaokuwa chini yake, nao kuwa wenye weledi.Asa watu wenyewe ni Form 4 failures halafu unategemea wawe na majibu gani?. Yaani akili kubwa inaongozwa na watu fyatu akili ndogo kama hawa..., nchi yetu ni ya ajabu. Ukifuatilia vyeti vyao ni full kuunga unga tu na pengine hata majina siyo yao wanatumia majina ya watu wengine.
Kuna siku nitaleta humu mada ya hawa watu namna wanavyopatikana kimagumashi.
Hawa wote ni hovyo!Nimesikiliza kamanda wa polisi akijibu maswali ya muandishi Regina wa BBC jioni hii, majibu yake yamenisikitisha sana.
Hajui anaishi katika dunia ipi. Ana majibu ya kitoto sana na kama huyu ndiye mwenye nafuu kati ya mapolisi, basi kuna tatizo kwenye uteuzi na mafunzo ya askari wetu.
Mimi kipato changu kinanitosha na hakina harufu ya damu za binadamu wenzangu kama nyieAna majibu ya kitoto lakini ni RPC Kanda Maalum. Wewe mwenye majibu ya kiutu uzima hata hujui leo utakula nini! Ahahahahaha!!
Itakuwa PhD ya mchongo, sa100 wanamuita Dr kwani ye aliusomea wapi...form 4 yenyewe alifeli hahhaaaaLakini huyo wanasema ni msomi.Ana PhD
Nimesikiliza kamanda wa polisi akijibu maswali ya muandishi Regina wa BBC jioni hii, majibu yake yamenisikitisha sana.
Hajui anaishi katika dunia ipi. Ana majibu ya kitoto sana na kama huyu ndiye mwenye nafuu kati ya mapolisi, basi kuna tatizo kwenye uteuzi na mafunzo ya askari wetu.
Ahahahahaha!Mimi kipato changu kinanitosha na hakina harufu ya damu za binadamu wenzangu kama nyie
Ukute huyo ndiye "think tank" waoHajui anaishi katika dunia ipi. Ana majibu ya kitoto sana na kama huyu ndiye mwenye nafuu kati ya mapolisi, basi kuna tatizo kwenye uteuzi na mafunzo ya askari wetu.
Are you sure kwamba hajui atakula nini....be ware anaweza akaliwa hata shemeji yetu na usifanye kitu.Ana majibu ya kitoto lakini ni RPC Kanda Maalum. Wewe mwenye majibu ya kiutu uzima hata hujui leo utakula nini! Ahahahahaha!!
Aliajiriwa kwasababu ni mrefu na mwenye mbioNimesikiliza kamanda wa polisi akijibu maswali ya muandishi Regina wa BBC jioni hii, majibu yake yamenisikitisha sana.
Hajui anaishi katika dunia ipi. Ana majibu ya kitoto sana na kama huyu ndiye mwenye nafuu kati ya mapolisi, basi kuna tatizo kwenye uteuzi na mafunzo ya askari wetu.
Nisingetarajia kusikia kitu tofauti kutoka kwa chadema, lazima aponde na kudogoisha.Nimesikiliza kamanda wa polisi akijibu maswali ya muandishi Regina wa BBC jioni hii, majibu yake yamenisikitisha sana.
Hajui anaishi katika dunia ipi. Ana majibu ya kitoto sana na kama huyu ndiye mwenye nafuu kati ya mapolisi, basi kuna tatizo kwenye uteuzi na mafunzo ya askari wetu.
Hivi kila mwenye akili na mawazo huru ni chadema?Nisingetarajia kusikia kitu tofauti kutoka kwa chadema, lazima aponde na kudogoisha.
Hao ndio washauri wakuu wa samiaUkute huyo ndiye "think tank" wao