Kama huyu niliyemsikiliza akihojiwa BBC ndiye Kamanda wa Polisi Dar, basi kuna tatizo kubwa

Nimesikiliza kamanda wa polisi akijibu maswali ya muandishi Regina wa BBC jioni hii, majibu yake yamenisikitisha sana.

Hajui anaishi katika dunia ipi. Ana majibu ya kitoto sana na kama huyu ndiye mwenye nafuu kati ya mapolisi, basi kuna tatizo kwenye uteuzi na mafunzo ya askari wetu.
Kama wafuasi wa Braza K ndio watu wa namna hii ndio maana wamekuwa waropokaji.
 
Nimesikiliza kamanda wa polisi akijibu maswali ya muandishi Regina wa BBC jioni hii, majibu yake yamenisikitisha sana.

Hajui anaishi katika dunia ipi. Ana majibu ya kitoto sana na kama huyu ndiye mwenye nafuu kati ya mapolisi, basi kuna tatizo kwenye uteuzi na mafunzo ya askari wetu.
Huyu ndie alikuwa RPC wilaya mojawapo ya Dar (mkoa kwa kipolisi) kipindi kile utekaji ulikithiri sana enzi za awamu ya tano 'A' , IGP wa wakati ule, alisumbuka sana kusuguana Mkisasa hatimaye akaja akabaini huenda yeye ndie alikuwa mhandisi wa matukio akatolewa na kuhamishiwa mikoani pamoja na wote aliokuwa akishirikiana nao.

Alipoingia huyu wa awamu ya tano 'B' akahoji kwanini yule aliyekuwa akifanya vizuri hapo Dar kwa kuwamudu watukutu alitolewa akaamuru arejeshwe ndipo kikosi kizima kikarejesha Dar matukio yale yale ya forced disappearance, arbitrary arresting and civilian terror yakarudi kwa kasi ya 'Gen Z' hadi leo........giza nene liko mbele
 
Asa watu wenyewe ni Form 4 failures halafu unategemea wawe na majibu gani?. Yaani akili kubwa inaongozwa na watu fyatu akili ndogo kama hawa..., nchi yetu ni ya ajabu. Ukifuatilia vyeti vyao ni full kuunga unga tu na pengine hata majina siyo yao wanatumia majina ya watu wengine.
Kuna siku nitaleta humu mada ya hawa watu namna wanavyopatikana kimagumashi.
 
Aisee hata mimi nilikuwa nasikiliza mahojiano hayo.
Kaongea ujinga mtupu.
Eti walikuwa wanafanya ulinzi wa kawaida na watu walikuwa wanawafurahia kuna nyumba waligonga milango wakafunguliwa vizuri wakapongezwa kwa kazi yao nzuri ,
Ana shangaa kwa nini nyumbani kwa lisu waligoma kuwafungulia wakati walikuwa kwenye ulinzi wa kawaida waliwagongea ili kufahamu kama wanatatizo
Wanaigiza kwanini walianza la Lissu
 
Nimesikiliza kamanda wa polisi akijibu maswali ya muandishi Regina wa BBC jioni hii, majibu yake yamenisikitisha sana.

Hajui anaishi katika dunia ipi. Ana majibu ya kitoto sana na kama huyu ndiye mwenye nafuu kati ya mapolisi, basi kuna tatizo kwenye uteuzi na mafunzo ya askari wetu.
Tatizo linaanza unapongea uongo ili kuwalizisha watawala
 
Nimesikiliza kamanda wa polisi akijibu maswali ya muandishi Regina wa BBC jioni hii, majibu yake yamenisikitisha sana.

Hajui anaishi katika dunia ipi. Ana majibu ya kitoto sana na kama huyu ndiye mwenye nafuu kati ya mapolisi, basi kuna tatizo kwenye uteuzi na mafunzo ya askari wetu.
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom