Kama huyu niliyemsikiliza akihojiwa BBC ndiye Kamanda wa Polisi Dar, basi kuna tatizo kubwa

Nimesikiliza kamanda wa polisi akijibu maswali ya muandishi Regina wa BBC jioni hii, majibu yake yamenisikitisha sana.

Hajui anaishi katika dunia ipi. Ana majibu ya kitoto sana na kama huyu ndiye mwenye nafuu kati ya mapolisi, basi kuna tatizo kwenye uteuzi na mafunzo ya askari wetu.
Jina lenyewe tu ni Muliro. Sasa hapo si kichwa chote kimejaa Muliro. Jamaa wa hovyo kabisa
 
Tupe jina la aliyehojiwa na Regina, jitahidi kuandika leo hii Regina wa BBC akimuhoji kamanda wa ... afande ........ tunaweza tusiombe link
 
Ch
Nimesikiliza kamanda wa polisi akijibu maswali ya muandishi Regina wa BBC jioni hii, majibu yake yamenisikitisha sana.

Hajui anaishi katika dunia ipi. Ana majibu ya kitoto sana na kama huyu ndiye mwenye nafuu kati ya mapolisi, basi kuna tatizo kwenye uteuzi na mafunzo ya askari wetu.
Cheo cha polisi hakiangalii akili kinaamgalinmtu anajituma KUPIGA risasi na kuuza watu waitwao majqmbqwazi kisha upewa cheo cha IGO
 
Kule moshi wana fundishwa kua mazombie hata kama una akili inabidi uwe zombie
 
Nimesikiliza kamanda wa polisi akijibu maswali ya muandishi Regina wa BBC jioni hii, majibu yake yamenisikitisha sana.

Hajui anaishi katika dunia ipi. Ana majibu ya kitoto sana na kama huyu ndiye mwenye nafuu kati ya mapolisi, basi kuna tatizo kwenye uteuzi na mafunzo ya askari wetu.

Baba yangu miaka mingi iliyopita wakati nikiwa bado nipo shule ya Msingi alikuwa ananitania kwa kuniambia kwamba " usije kuajiriwa na kuwa Polisi, kwa sababu kule Watu wanaoajiriwa huwa hawapimwi akili, bali wanapimwa urefu tu wa mwili."
 
Nimesikiliza kamanda wa polisi akijibu maswali ya muandishi Regina wa BBC jioni hii, majibu yake yamenisikitisha sana.

Hajui anaishi katika dunia ipi. Ana majibu ya kitoto sana na kama huyu ndiye mwenye nafuu kati ya mapolisi, basi kuna tatizo kwenye uteuzi na mafunzo ya askari wetu.
Kuna mwaka nilikua na rafiki polic wale wa form 4 failure kaunga unga D zake bwana bwana zama za sintofahamu moja ya kisiasa si akaona status yangu napinga upuuzi. Kumbe jamaa yupo kwenye ule mchakato wa kuwapiga maraia wasio na hatia. Toka ile siku na milele.yule rafk nilifuta namba na hata kaa awe rafk yangu never. Fu£% that
 
Hata mkuu wa JWTZ naye ndo walewale tu. Kichwani ni mwepesi mno.

Ukimsikiliza aongeavyo wala si vigumu kubaini kwamba hakujaaliwa ‘gray matter’ kivile.
Na sa100 je, ukimsikiliza akiwa free flowing unahisi nn kichwani kwake mkuu
 
Aisee hata mimi nilikuwa nasikiliza mahojiano hayo.
Kaongea ujinga mtupu.
Eti walikuwa wanafanya ulinzi wa kawaida na watu walikuwa wanawafurahia kuna nyumba waligonga milango wakafunguliwa vizuri wakapongezwa kwa kazi yao nzuri ,
Ana shangaa kwa nini nyumbani kwa lisu waligoma kuwafungulia wakati walikuwa kwenye ulinzi wa kawaida waliwagongea ili kufahamu kama wanatatizo
Ila hii nchi jamani😂
Huyu polisi moto wake utakuwa mkali sana huko jehanam kama asipotubu
 
Aisee hata mimi nilikuwa nasikiliza mahojiano hayo.
Kaongea ujinga mtupu.
Eti walikuwa wanafanya ulinzi wa kawaida na watu walikuwa wanawafurahia kuna nyumba waligonga milango wakafunguliwa vizuri wakapongezwa kwa kazi yao nzuri ,
Ana shangaa kwa nini nyumbani kwa lisu waligoma kuwafungulia wakati walikuwa kwenye ulinzi wa kawaida waliwagongea ili kufahamu kama wanatatizo
Sasa hapo kaongea baya gani?
 
Nimesikiliza kamanda wa polisi akijibu maswali ya muandishi Regina wa BBC jioni hii, majibu yake yamenisikitisha sana.

Hajui anaishi katika dunia ipi. Ana majibu ya kitoto sana na kama huyu ndiye mwenye nafuu kati ya mapolisi, basi kuna tatizo kwenye uteuzi na mafunzo ya askari wetu.
Polisiccm wengi ni wale division D form four
 
Hata Samia ana PhD zisizoeleweka ni za kitu gani na wakati kidato cha nne alipata division 0

Hizi PhD labda ni permanent head damage.
Kibaya sasa Polisiccm wasio na Elimu kichwani ndiyo wamegeuka kuwa washauri wake, Nchi ipo ICU
 
RPC Mlilo mda wake wa kuhudumu kama mtumishi imekwisha lakini ameendelea kuwepo Ofisini kinyume cha sheria na ajiandae kupokea laana nyingi visomo kulujuani Alibadiri nyingi zitamiminika kwake toka kwa wald aliowafanyia vitendo haramu vya kishetani
 
Nisingetarajia kusikia kitu tofauti kutoka kwa chadema, lazima aponde na kudogoisha.
Kitu kipya ni kuwalaani kuwasomea kulujuani Albadiri wale Polisiccm wote walioshiriki vitendo haramu vya kishetani
 
Back
Top Bottom