Mabula Msirikale
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 1,060
- 2,313
Amelitia Taifa aibu kwa ule ujinga kwenye chombo cha habari za Kimataifa.
Hiyo sio hoja, mbona slaa na heche pia wanazo?!!!Huyo polic ukimpekua ana kadi ya ccm,sasa hapo unategemea nini
Nimesikiliza kamanda wa polisi akijibu maswali ya muandishi Regina wa BBC jioni hii, majibu yake yamenisikitisha sana.
Hajui anaishi katika dunia ipi. Ana majibu ya kitoto sana na kama huyu ndiye mwenye nafuu kati ya mapolisi, basi kuna tatizo kwenye uteuzi na mafunzo ya askari wetu.
Kuna kipindi kikwete nae akawa anaitwa professor eti.Hata Samia ana PhD zisizoeleweka ni za kitu gani na wakati kidato cha nne alipata division 0
Hizi PhD labda ni permanent head damage.
62 mbona ni mtu wa makamo!.slaa ndo mzeeUzee nao unachangia! Kama sikosei ana umri wa miaka 62!
Katika umri huo uwezo wa kutumia akili na busara katika maswala muhimu unapungua.