In 2011 David Beckham broke the internet after hitting three footballs into three different trash cans in a row on a beach.
When he asked by reporter shortly after about whether or not it was real he said a simple answer 'of course'.
He said he spent five or six hours on the beach so I had a...
https://www.netflix.com/us/title/81223488?s=a&trkid=13747225&trg=cp&vlang=en&clip=81728489
Jamaa nilimu idolize sana miaka ile hadi nikawa napiga cross kama zake mpirani
Moja ya wachezaji wanaofahamika kuwa na mitindo mingi na tofauti ya nywele ni David Joseph Beckham.
Moja ya unyoaji uliowahi kumletea shida akiwa chini ya Sir.Alex Ferguson ni kijogoo.
Alijua fika ingeleta shida ila upenzi wake kuwa na mionekano ya kitofauti ikamlazimu kunyoa hivyo.
Sio...
Nyota huyo wa zamani wa soka ameelezea nia yake hiyo ambapo mpango wake ni kushiriki katika muungano wa watu wanaoweza kuinunua klabu kwa kuwa yeye peke yake hana uwezo huo.
Hiyo inamaana kuwa kuhusika kwa Beckham kunaweza kuwa na manufaa kwa wanunuzi wengine kutokana na historia yake ya muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.