beet roots

  1. MAJIYAPWANI

    Naweza kupata wapi beet roots na komamanga kwa Dar?

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema ni wapi naweza pata hayo matunda kwa Dar es Salaaam na je beibyake kiasi gani kuanzi robo, nusu, au kilo. Asanteni.
Back
Top Bottom