Katika tembea tembea zangu, mkoa wa Morogoro ni moja ya sehemu ambayo mfumo wa nauli haujakaa sawa. Ukipanda daladala za Dar es salaam mfumo wa nauli umekaa vizuri sana na unaeleweka na inaonesha ni wazi kabisa mamlaka zinafatilia juu ya hilo. Mfano gari linatoka Tandika kwenda Mbezi nauli ipo...
Nyumba ipo Tanga Mjini Mitaa ya kisosora
*Room 4 (Kimoja master)
*Sebule
*Jiko
*Public Toilet
*Umeme✅
*Maji✅
Bei 65 milioni mazungumzo yapo...Kwa mteja Serious piga simu 0683703076 au whatsapp 0763316426
leo nilikuwa kufanya manunuzi pale soko la Karume (Dar es salaam) sasa kuna sehemu nikawa nimenunua suluali ya spesho kwa elfu ishirini, na nikarizika kwakutojua bei harisi lakini kwenye pita pita zangu za hapa na pale nikakuta suluali kama ile ile niliyo inunua mwanzo na brand ya kampuni ni ile...
Fedha hizo ni hasara iliyotokana na kushuka kwa bei ya kilo ya Pamba kwenye soko dunia mwaka 2019 kisha Serikali ikatangaza bei ibaki Tsh. 1,200 kutoka Tsh. 900 na kwamba Serikali itafidia hasara yote.
Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), imesema Serikali iwajibike kulipa deni...
Mpaka leo bei elekezi ya mafuta mwezi Septemba haijatoka hizo zinaweza zikawa sababu
Zoezi la kuongeza sifuri limekua gumu kwa sababu bei ya mafuta Duniani imeshuka sasa utaongezaje mafuta hapa kunawaweka Serikali katika wakati mgumu kwa sababu kupandisha bei ni kuwadanganya Watanzania...
Nimesoma hili Tangazo la TFRA la bei elekezi za mbolea lakini nimeshindwa kuziona. Hizo bei zinapatikana wapi.
TAARIFA KWA UMMA: BEI ELEKEZI ZA MBOLEA (DAP, UREA, CAN NA SA)
01st Apr, 2022
1.Utangulizi
Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (Tanzania Fertilizer Regulatory Aurhority - TFRA)...
DC MWENDA APIGA MARUFUKU UPANDISHAJI HOLELA WA NYAMA, AAGIZA WAUZAJI KUUZA KWA BEI ELEKEZI YA SERIKALI- IRAMBA.
Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe. Suleiman Mwenda amewaagiza wamiliki wa mabucha, wachinjaji na wauzaji wa nyama kuacha mara moja tabia ya kupandisha bei ya kitoweo hicho...
Pamoja na kubezwa elimu yake Joseph Musukuma ni mbunge anajiamini na hutoa ya moyoni na wahusika kama ni kushupaza shingo washupaze lakini ujumbe unawafikia mojakwamoja.
==========
Mheshimiwa mwenyekiti nitazungumza maswala yanayohusu na TANESCO peke yake. Mimi natokea vijijini ukifika...
Jamaa wapo fasta huenda template ilikuwepo kabisa, wameprint tu lakini mbona hawajafafanua kuhusu vijijini?
Alafu anasingizia katikati kuriharibiwa wakati maagizo ni ya kwake.
Huwa nashangaa sana wanaosifia Makamba ni akili kubwa.
Wanabodi, bila shaka tunafahamu kauli za mtangulizi wa Wizara ya Nishati kuhusu malipo ya gharama za kuunganishiwa umeme ya TZS 27,000.
Nafikiri tuliowengi tuliunga mkono tamko hilo kwa mantiki kwamba miundombinu si mali ya anaeunganishiwa. Hata hivyo, kwa maoni yangu ni Kama vile kumekuwa na...
Kiukweli watanzania wanamitaji midogo ya kupata sehemu za kujiegesha kwa ajili ya biashara zao.
Lakini wenye nyumba hawa tengenezi aina mifumo ambayo hata yule kijana au yoyote anayetaka kufanya biashara basi hata kuwa na sehemu ambayo ni elekezi na bei nzuri.
Kwa Dar es Salaam naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.