bei juu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipanya: Unga bei juu, Mafuta bei juu, Dola haipatikani

    Kudadeki!! 🤣
  2. Sukari imeshindikana nchi hii. Ni pasua kichwa

    Leo nimenunua Sukari kilo afu tano. Leo Tarehe 14.2.2024 Na hapa Niko mjini Dar. Sipati picha huko kwingine. Huko kwenu inaendaje?
  3. Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

    Serikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula. • Dar - - Mwanza • Dar - - Mbeya • Dar - - Kigoma • Dar -- Arusha • Dar --...
  4. Petroli Bei Juu Tanzania

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), iimetangaza bei kikomo za bidhaa za Mafuta zilizoanza kutumika leo Oktoba 4, 2023 ambapo kwa Dar es Salaam Petroli ni Tsh. 3,281, Dizeli 3,448 na Mafuta ya Taa Tsh. 2,943 ikiwa na ongezeko la Tsh. 68 kwa kila Lita. Tanga, Petroli ni Tsh...
  5. Rostam Aziz, Watanzania tukueleweje? Unawauzia Wakenya Gesi yako Bei Chee na kwa Watanzania unatuuzia Bei Juu?

    "Kuanzia Mwezi wa Tano nategemea Kutangaza Kuuzwa kwa Gesi zote nchini Kenya kwa Tsh 500/ ya Kenya ( kama Tsh 9,500/ hadi Tsh 10,000/ tu za Tanzania ) kwani tayari Rafiki yetu kutoka Tanzania Rostam ameshakuja Kuwekeza hapa Kwetu hivyo nataka Wakenya wafurahie Maisha na wapate Gesi kwa gharama...
  6. Chakula cha kuku bei juu masoko yapo chini. Tunafanyaje?

    Wakuu kama mnavyoona Chakula cha kuku kimepanda bei tena finisher ya backbone nilikuwa nanunua elfu 78,000 ila leo nimeambiwa 81,000 na bado kuku sokoni biashara ipo vibaya yaan inanilazimu hawa nilionao niwauze 5,500/= ili kukwepa hasara ya chakula maana wanakimbilia wiki ya tano Sasa au kwa...
  7. Kuuziwa chakula bei juu kwa Wasafiri ni kero kubwa

    Hili janga ni kama limerejea tena kwa speed ya kasi mnooo fikiria unapokuwa safarini sahani ya wali maharage unanunu kwa 4000, wali nyama. 5000, kuku robo ni 10,000, Chaji ya rangi 1000. Kuwa msafiri sio kuwa kosa la kulanguliwa vitu bei juu au ndio kusema na wao wameathiriwa na vita vya Ukraine?
  8. Mbolea bei juu, maagizo ya Waziri wa Kilimo kuhusiana na kushushwa kwa bei ya mbolea yamepuuzwa?

    Mbali na tamko la waziri la waziri wa kilimo Mh. Hussein Bashe kutoa bei elekezi ya mbolea kuwa ifikapo tarehe 15/08/22 maduka yote nchini yanayouza pembejeo za kilimo yawe yameshusha bei ya mbolea na kuuza kwa bei elekezi ya serikali ili kumpatia nafuu mkulima. Lakini hadi sasa...
  9. Mwigulu: Cement bei juu kwa sababu ya vita ya Ukraine na Urusi

    "...gharama za cement zimeendelea kupanda kila mara na hilo la vita ya Ukraine na Urusi ndilo limeongeza changamoto ya kupanda kwa bei..." "...nimewataka wadau waone namna bora ya kupunguza gharama kupanda mara kwa mara kwa maslahi ya wananchi wetu." Amesema Mwigulu. Nb: Tanga cement na...
  10. Kitimoto nacho BEI JUU!

    Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala. Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair. ***Nakula huku Nina hofu sana
  11. EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

    Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258 Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022 Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita. Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa...
  12. M

    Umoja wa Ulaya utasusia kununua mafuta ya urusi baada ya miezi 6. Urusi yawakebehi kwa kusema wataendelea kuyanunua kupitia nchi nyingine kwa bei juu!

    Nchi zinazounda umoja wa ulaya (EU) zimekubaliana kususia kununua mafuta ya urusi baada ya miezi sita. Lakini zimeziruhusu nchi mbili za Hungary na Slovakia ziendelee kununua mafuta ya urusi maana zenyewe zilisema ""piga ua hawawezi kuachana na mafuta ya Urusi". Lakini nchi ya Urusi imezikebehi...
  13. Wakati vitu vinazidi kupanda bei, Serikali imelipia ndege mpya tano kuimarisha ATCL

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imeendelea kuliimarisha Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) ili liweze kutoa huduma bora ya usafiri wa anga ndani na nje ya nchi ambapo amebainisha kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya ununuzi wa ndege tano. Japo hawajasema ni lini...
  14. Ramadhani ya 2022 itakuwa ngumu, vyakula vinapanda bei na raia tuko kimya

    Muda kama huu Hayati Magufuli angeshakemea vitu kupanda bei. Leo hii mafuta ya kula lita 10 Tsh. 63, 000 huku lita 20 ikiwa ni Tsh. 117,000. Wauza mihogo ya kukaanga biashara imewashinda sababu ya mafuta kupanda sana na sio kwamba hakuna wateja. Tambi na ngano vimepanda bei mapema. Je, mwezi...
  15. Mafuta ya kupikia bei juu, Chips bei ile ile!

    Wapenda chips mnalishwa Sumu bila kupenda, haiwezekani mafuta ndoo ya 10ltrs iuzwe 75,000 TZS kutoka 38,000 TZS (ongezeko karibia 100%) Ila chips mtaani Bei Ile Ile. Wafanyabiashara hao wamejiongeza Kwa gharama za mlaji. STUKA
  16. Wakulima Songea waililia Serikali kwa kupanda Bei ya mbolea -24/02/2022

    Katika utafiti nilioufanya leo hii tar. 24.02.2022 Bei za mbolea zimepanda Mara dufu lakin kwa bahati mbaya serikali hadi sasa ipo kimya huku ikijua wazi kuwa Ruvuma-Songea ndio mikoa inayozalisha kwa wingi zao la mahindi kiasi Cha kuweza kusaidia Tanzania kuwa na akiba ya chakula. Leo Bei za...
  17. Nchi inakumbwa na hofu kubwa ya njaa na kupanda sana kwa bei za vyakula. Rais aandae wananchi kukabiliana na hali hii na ashugulikie kwa udharura

    Hali ni mbaya. Kuna maeneo watu wamechanganyikiwa hawajui walime nini. Naona Serikali na viongozi wako bize na uchaguzi 2025. Natamani Serikali itoke adharani kufanya Mambo yafuatayo: 1. Kuhamasisha ulimaji wa mazao ya muda mfupi na yanayostaimili ukame kama mtama, mahindi na maharage. 2...
  18. Kila kitu bei juu; Hadi Soda na Sabuni

    Maisha yanapanda kwa kasi Sana. Kila kitu bei juu! Nimeshangaa kipande cha Sabuni sasa ni 600 badala ya 500. Soda sasa ni 600 badala ya 500. Maji nayo yamepanda bei. Huduama za kijamii nazo zinasuasua Watawala mtuhurumie.
  19. Tiketi, vyakula, bidhaa bei juu siku za sikukuu

    Hivi Watanzania tuna hulka ya namna gani ya maisha?! Siku za sikukuu iwe Idd el Fitr Pasaka na Xmas kwanini wafanyabiashara wetu wanapandisha bei za kila kitu juu?! Wenzetu wanaodai kuishi Dunia ya kwanza tunasoma wako tofauti, iwe vyakula hasa kuku na nyama, usafiri, nguo na bidhaa za kila...
  20. Nyerere NP - Park fees bei juu kuliko serengeti na Ngorongoro

    Huwa najiuliza
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…