Habari mbaya sana Mtaani kila Kona Rais anasemwa vibaya na mambo yanaenda Kombo, Bei ya Vyakula kama Mahindi na Mchele vimepanda maradufu Ndani ya Awamu ya Samia.
Mafuta ya Kula Bei imeongezeka karibia nusu, Diesel imepanda na kusababisha Nauli kuongezeka Vijijini, Nguo na vitu vya kawaida...
Kutokana na hayo matatizo yaliyotajwa hapo juu. Je, Mama Samia anatupeleka wapi na wasaidizi wake? Tutaishia wapi? Kumbekeni Omicron nayo yatunyemelea kama bado haijafika! Kweli bongo bahati mbaya.
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi
Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini...
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.
Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
Kumekuwa na kelele sana juu ya anguko la bei ya mahindi kote nchini. Kiasi ambacho imebidi CCM iingilie kati. Nimewaona wabunge wote hasa wa CCM wakionyesha kutorodhishwa kwao jinsi NFRA inavyonunua mahindi toka kwa wakulima.
Ongezekeo hili la wingi wa mahindi ni mwitikio wa wakulima kwani...
Kwa style tunayoenda nayo Magufuli lazma akumbukwe bila kupenda.
1. Tozo
2. Bei ya vitu kupaa
3. Serikali haina kauli 1 tena.
4. Wakazi wa Dodoma
5. Wenyeji wa Chato
Yaani mwanaume mwanaume tu. Wengi tulimchukia sana Magufuli lakini hata kama hatokumbukwa lakini kimoyo moyo lazma umkumbuke...
Wakati wananchi wakipaza sauti kulalamikia tozo za miamala ya simu ambayo imeonekana kua mzigo na maumivu kwa wananchi sasa bei ya mbolea imeenda kupaa isivyo kawaida hivyo kuketa taharuki wa wakulima.
Kilimo ndo uti wa Mgongo wa taifa ambapo zaidi ya 70% ya wananchi wanajishughulisha na...
Bei mpya ya mafuta imetoka. Imepanda tena miezi minne mfululizo. Petrol hapa Dar 2405, diesel 2215. Kuna mikoa petrol inafika 2600/-. Tutaheshimiana tu barabarani.
#KaziIendelee
==
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza ongezeko la bei za mafuta zitakazoanza Julai...
Kuna malalamiko mengi sana juu ya soko la shapa kupaa!
Gharama ya mauzo na manunuzi ya shaba (copper) imepaa sana kwa zaidi ya 45%-55% ya bei ya awali je tatizo ni nini?
Nani anafahamu kwa nini soko la madini hayo limepaa sana?
Shida iko wapi? Wenye majibu tafadhali
Jana nimenunua mafuta ya kupikia hapa Ubungo - River Side.
KORIE dumu la lita 20, shillingi 79,000/=. Hayo mafuta yaliyoingia bandarini ya kutosha matumizi ya miezi sita yako wapi? Au ni wafanyabiashara wakubwa wameficha mzigo ili bei iendelee kuwa juu?
Prof Kitila mkumbo na naibu wake si...
SABABU ZA GARI YA DIESEL KUA BEI JUU KULIKO PETROL
Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari
1. Uzito wa mafuta ya Diesel unaopelekea gari kutumia mafuta chini zaidi kwa wastani wa asilimia 15 mpaka 20 kulinganisha na gari za Petrol. Mfano, BMW X5 ya Diesel Cc 3000 inakadiriwa kwenda km 11...
Yaani unalipia Dstv kifurushi cha bomba elfu kumi na tisa na mia tisa (19,900) afu gharama za kufanya malipo hayo ni elfu tano (5,000).
Kwanini gharama ipo juu hivi? Nilikuwa sijawahi kujua, huu ni wizi wa mchana kweupe.
Jana nilikwenda ofisi ya MORUWASA - Morogoro kufuatilia maombi yangu ya kuunganishiwa maji nyumbani kwangu, niliandikiwa invoice kuwa natakiwa kulipa zaidi ya Tsh 300,000 kwa umbali usiozidi mita 8 toka lilipo bomba (wao wanaita tawi) la mamlaka hiyo ambapo wengi wamechukulia hapo.
Nikawauliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.