bei ya korosho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Msimu wa korosho unakuja, Mungu atujalie tuuze kwa bei kubwa. Serikali yenu haipumziki

    “Msimu wa korosho unakuja, Mungu atujalie tuuze kwa bei kubwa. Serikali yenu haipumziki. Tunajua biashara ni mashindano, wakati tunazalisha wengine pia wanazalisha na bei hushuka, lakini tunajitahidi kuhakikisha wakulima wanapata bei kubwa,” alisema Dkt. Samia. Aidha, aliwahimiza wananchi wa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ulaghai wa bei ya korosho na kiki za kisiasa za CCM kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Mnada wa kwanza wa korosho uliofanyika 11/10/2024 ulifunguliwa kwa bei ya TSh 4150/= kwa kilo moja ya korosho. Kwenye mnada huu kulikuwa na tani chache sana za korosho. Ukafuata mnada wa pili ambapo bei ilishuka mpk kufikia TSh 3750/=, napo pia kulikuwa na tani chache sana za korosho. Bei...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Hussein Bashe nifikishie pongezi hizi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu bei ya korosho

    Kwanza nakusalimia sana Mhe Waziri wa Kilimo. Nina mengi sana ya kusema lkn sitak nikuchoshe. Kubwa zaidi nataka nikwambie kuwa leo Jumapili Wakulima wa korosho Lindi wameuza korosho zao kilo kwa efu 4150 kule Ruangwa na 4025 kule Nachingwea. Wananchi wa mkoa huo wamefurahia mno korosho kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…