GE2025 Samia: Msimu wa korosho unakuja, Mungu atujalie tuuze kwa bei kubwa. Serikali yenu haipumziki

GE2025 Samia: Msimu wa korosho unakuja, Mungu atujalie tuuze kwa bei kubwa. Serikali yenu haipumziki

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
“Msimu wa korosho unakuja, Mungu atujalie tuuze kwa bei kubwa. Serikali yenu haipumziki. Tunajua biashara ni mashindano, wakati tunazalisha wengine pia wanazalisha na bei hushuka, lakini tunajitahidi kuhakikisha wakulima wanapata bei kubwa,” alisema Dkt. Samia.

Aidha, aliwahimiza wananchi wa Mtama kuweka akiba ya kujiunga na bima ya afya ili kuhakikisha wanapata huduma bora za afya.

“Naomba sana tuweke akiba kwa ajili ya bima ya afya. Tutaanza kwa majaribio na tukifanikiwa tutaendelea pamoja. Huduma hizi zinahitaji kuchangiwa kidogo ili ziendelee kuwa bora,” aliongeza.

Akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika Septemba 24, 2025, jimbo la Mtama mkoani Lindi.

 
Back
Top Bottom