bei za mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    EWURA yatangaza bei Kikomo za mafuta ya petroli zitakazotumika kuanzia Novemba 6, 2024, saa 6:01 usiku

    KUMB: PPR/2024-11/01 TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 6 NOVEMBA 2024 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 6...
  2. Thabit Madai

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) yatangaza bei za Mafuta kwa Mwezi Oktoba, 2024

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza bei za Mafuta kwa Mwezi Oktoba, 2024. Pia, soma: Bei ya Petroli, Dizeli Oktoba sasa kitonga, sababu za kushuka zatajwa
  3. BARD AI

    Bei ya Mafuta yaendelea kushuka katika Soko la Dunia, OPEC+ yasema itaanza kupunguza usambazaji kuanzia Oktoba 2024

    NISHATI: Bei ya Mafuta imeripotiwa kuendelea kushuka zaidi katika Soko la Dunia karibu miezi 4 mfululizo ambapo hadi kufikia Mei 4, 2024, Bei ilifikia kati ya Dola za Marekani $76.76 (Tsh. Tsh. 200,727) hadi $77.52 (Tsh. 202,714) kwa Pipa. Hali hiyo imesababisha Nchi Zinazouza Mafuta (OPEC) na...
  4. B

    Bei za mafuta juu, vita vikisambaa mashariki ya kati

    1. Nani anataka vita mashariki ya kati? 2. Kwa hakika si Houthi, Marekani, wala washirika wake; achilia mbali makapuku wengine sisi "Chole Samvula" huku. 3. Nani asiyezijua athari za vita, achilia mbali mashariki ya kati? 4. Siyo sisi tuliowahi kushauriana kuhamia hata Burundi ikibidi? 5...
  5. ChoiceVariable

    Serikali wekeni ruzuku kwenye Mafuta, hizi bei kwa sasa hazivumiliki tena

    Sawa bei zimepanda soko la Dunia na mambo kama hayo ila ni muda wa kuweka ruzuku. Bora kuvuruga Mpango wa miradi 2 au 1 Tupate pesa ya ruzuku kuliko kuua uchumi mzima Kwa kuachia bei ziendelee kuwa Juu kiasi hiki. Yaani Lita Moja kufikia elfu 4-6 Mikoani huko Vijijini haikubaliki.Mwaka.juzi...
  6. Roving Journalist

    Bei za Mafuta mwezi Agosti 2023 kwa baadhi ya nchi za Afrika

    Bei za Mafuta mwezi Agosti 2023 kwa baadhi ya nchi za Afrika
  7. Meneja Wa Makampuni

    Mchanganuo wa bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa Mei 2022

    Kwanza, kuna gharama za mafuta ambayo ni bei ya mafuta katika soko la dunia na gharama ya uagizaji wa mafuta hayo inayojumuisha gharama za usafirishaji, bima na faida ya mletaji wa mafuta (supplier). Katika bei za Mei 2022 gharama hizi zilikuwa ni kama ifuatavyo: (i) Petroli – bei ya soko la...
  8. M

    Kupanda kwa bei za mafuta nchini Tanzania limekuwa tatizo na changamoto kubwa kwa wananchi imetokana na vita zinazoendelea nchi za Ulaya

    Kila kukicha Serikali imeendelea kutangaza mfumuko ya bei ya mafuta mpaka sasa kwa mkoa wa Dar es salaam lita moja ya mafuta ya petroli inakaribia elfu tatu miatano, miezi iliyopita bei za nauli ziliongezwa ili kuendana na mfumuko ya bei ya mafuta. Vita zinazoendelea kati ya Urusi dhidi ya...
  9. J

    Inakuaje bei za mafuta kwenye soko la dunia zinashuka ila Tanzania zinazidi kupanda?

    Wakuu habari, Leo tumeona bei mpya za mafuta zikipanda, na sababu tunajua tutaambiwa kuwa ni mabadiliko kwenye soko la Dunia. Lakini trend kwenye soko la dunia inaonyesha bei za mafuta zimekuwa zikishuka miezi ya karibuni, bei zilikuwa zimefika hadi Dola 124 kwa pipa mwezi Februari lakini...
  10. Mama Debora

    EWURA: Bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia Jumatano, tarehe 3 Agosti 2022

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 3 Agosti 2022. Bei za Mafuta katika soko la dunia zimeendelea kuongezeka na kusababisha bei za mafuta katika soko la...
  11. Championship

    Bei za mafuta zimesaidia kupunguza foleni kutoka Ubungo hadi Kimara

    Sasa hivi hata ikifika saa moja jioni pale nikishuka kwenye daraja naunganisha mpaka Kibo. Nausubiria zile taa kisha hapo chap mpaka Bucha. Pale taa zikiruhusu ni mpaka Kimara faster. Bei za mafuta kuongezeka kuna uzuri wake.
  12. Meneja Wa Makampuni

    Lissu uko wapi bei za mafuta zinapanda kiholela mbona huongelei chochote ujue taifa linakutegemea

    Bro Lissu naandika huu uzi ukufikie hapo alipo sasa. Najua unaendelea vizuri hapo ulaya. Bro Tanzania imekua na matatizo mengi kwasasa, bora haki ingechukuliwa lakini bei za bidhaa zipunguzwe gharama za maisha zipungue. Maisha yamekua ni magumu Bro, huko Singida bei ya lita ya mafuta ya...
  13. Memento

    EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

    Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258 Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022 Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita. Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa...
  14. N

    Data: Bei za mafuta DRC, Burundi, Rwanda, Zambia ziko chini

    Dah jamani hii vita ya ukraine imetukalia vibaya sisi tu au hawa jirani zetu wao wanachimba mafuta? si wanapitisha mafuta hapahapa bandarini kwetu jamani? Tunaongelea vita lakini hawa jamaa wa Drc congo wana vita na waasi miaka 25 sasa , tunahitaji maombi maalumu nchii hii hali tete sana
  15. MIMI BABA YENU

    Maoni ya mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta nchini

    Nimependa hoja zilizotolewa na mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta. Watanzania wote tungekuwa na uelewa kama wake, hakika tungeacha kueneza uzushi juu la suala hilo kwa kuwa kupanda kwa bei za mafuta ni tatizo la dunia nzima na siyo Tanzania pekee.
  16. OLS

    Mishahara iongezeke au tudhibiti bei za mafuta

    Wasalaam, Bei za mafuta zinahusika moja kwa moja na ongezeko la gharama za maisha kutokana na mfumuko wa bei ambapo kuenda sawa na hali hiyo, mishahara hupaswa kuongezwa ili kuwafanya watumishi wasipoteze nguvu ya kununua. Mishahara ya watumishi wa serikali haijapanda kwa muda wa miaka kadhaa...
  17. T

    Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

    Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani. Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania. Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha...
  18. B

    Tuzikatae Serikali zisizo na ufumbuzi ongezeko la bei za mafuta

    Kupanda kwa bei ya dhahabu, tanzanite na vyote made in Tanzania hakujawahi kuakisiwa popote positively katika nchi hii. Kote upigaji ndiyo ulio kipaumbele. Serikali kupitia LATRA ilitangaza bei mpya za nauli kwa kuzingatia diesel @ 2,800/- wakiyataka mabasi kutokutumia nauli hizo kabla ya 14...
  19. Monica Mgeni

    Kwanini bei za mafuta zimepanda zaidi mwezi Mei 2022?

    Taifa Digital Forum imefanya ufuatiliaji wa kina juu ya ongezeko la Bei ya Mafuta ya Nishati Nchini na kubaini kuwa katika kupindi cha Mwezi Machi 2022, bei ya mafuta ghafi katika soko la dunia ilikuwa ni ya juu zaidi ikilinganishwa na bei za miaka 14 iliyopita. Hali hiyo imesababishwa na...
  20. Meneja Wa Makampuni

    Tatizo la bei za Mafuta ya Petroli kupanda ni Serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo

    Tatizo la bei za mafuta ya petroli kupanda ni serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo. Ikumbukwe tunawatalaam wa mafuta. Hakika hawa wangeweza kutuvusha katika kipindi hichi kigumu. Wangeweza hata kutengeneza mafuta kutoka kwenye makaa ya mawe kwaajili ya kupunguza utegemezi...
Back
Top Bottom