Mbunge wa Sengerema Mh Tabasamu amesema tenda za mafuta wangepewa TPDC na Puma ambako serikali ina hisa zake basi bei ya mafuta isingepanda kwa kiasi ilichopanda.
Tabasamu amesema waagizaji wa mafuta wanaoleta sasa bei yao ni mara mbili ya ile waliyoquote TPDC wakati wanaomba tenda. Lakini TPDC...
Kuna changamoto kwa sasa tunapitia watu kupandisha bei ya vitu kwa taarifa kuwa mafuta yamepanda bei sababu ikiwa vita vya Ukraine, sawa tunakubali ila kuna kama wengine wanafata mkumbo tu, maana jana mwenye nyumba wetu katuambia kodi mwezi ujao itapanda sababu ikiwa gharama za maisha kupanda...
Kuna baadhi ya vitu vinavyotokea ambavyo viko nje ya uwezo wa mtu mmoja au kundi fulani la watu. Kwa mfano, suala la upandaji wa bei ya mafuta katika kipindi hiki cha vita ya Urusi na Ukraine liko nje ya uwezo wa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania.
Kuna watu wanamlaumu Rais, Wengine serikali...
Shabiby atoa mwarobaini kupanda bei mafuta
MBUNGE wa Gairo Mohammed Shabib ameitaka Serikali kuruhusu kampuni binafsi kuagiza mafuta wenyewe bila kutumia uagizaji wa pamoja.
Shabiby ametoa ushauri huo leo Jumatano tarehe 6 2022 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Ofisi...
Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi.
Mpina amesema wapo mawaziri hawajibu hoja za wananchi au huwa wanajibu...
Haya yanatokea sehemu nyingi duniani. Jukumu la serikali ni kuwahami wananchi wake.
Inatokea Zambia, Rwanda na kote ambako maslahi ya wananchi yamewekwa mbele.
Kuwa viongozi wao si wezi, pana hata haja ya kuuliza?
Kwa hakika tulipo, hitaji la kuwa na katiba itakayo tuhakikishia tuna watu...
Rais Kassym-Jomart Tokayev amekubali Serikali kujiuzulu kufuatia maandamano yaliyotokana na ongezeko la bei za mafuta. Ametangaza Hali ya Dharura kwa muda wa wiki mbili katika baadhi ya maeneo Nchini humo.
Mikusanyiko mikubwa imeripotiwa katika Miji mikubwa kadhaa na Polisi wametumia mabomu ya...
Serikali kupitia Mamlaka ya Uthibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta.
Taarifa iliyotolewa leo na EWURA inaeleza kwamba, Ikilinganishwa na bei za mwezi Desema 2021, bei za Januari 2022 zitapungua kwa kati ya Shilingi 4 na 35 kwa lita ya petroli; na kati...
Na bado. Sisi CCM hatuna shida haya ya mafuta kupanda hayatuumizi. Unayajua ma VIEITIII? Unayajua? Au unayasikua tu? Ndo tunayoyatumia. Hata hayali kabisa mafuta. Yanatumia upepo tu. So mafuta kupanda bei haituhusu.
Sijuu bidhaa zimepanda bei, sijui maisha yamekuwa magumu. Tozo n.k hayo...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 1 SEPTEMBA 2021
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 1 Septemba...
Habari ndugu.
Mara ya mwisho naingia filling station bei ya wese ilikua 2,405 karibu sheli zote. Leo nimeingia kujaza wese nakuta bei inasoma 2427 kuna ongezeko la Tshs 22. Nakumbuka jamaa pale sheli alinambia na bado bei itaendelea panda.
Tunakoelekea sahivi uchumi utadidimia na sio kukua...
Bei za mafuta zimepanda tena, hii inaashiria kuendelea kuongezeka kwa gharama za maisha.
Pengine kwenye soko la dunia bei imeongezeka Ila serikali isingeongeza kodi kwenye mafuta kwenye hii bajeti mpya basi Bei zingekuwa kidogo afadhali.
Sikujua kwa nini serikali iliongeza kodi kwenye mafuta...
Bei za mafuta zinahusika moja kwa moja na mfumuko wa bei(Headline inflation) hii ni kwa kuambiwa lakini nimefanya pia analysis ya haraka haraka na kuona uhusiano mkubwa kati ya hivyo vitu, tafadhali angalia matokeo haya kutoka kwenye STATA nimetumia data ya mwezi kuanzia 2010 hadi 2020...
Kuanzia tarehe 1 July, bei za mafuta, kuanzia petrol, diesel, kerosene zitapanda kwa kiwango kisicho na chembe ya uungwana. Maisha yatapanda.
Mfumuko wa bei utapanda wakati kodi zitashuka maana hali naiona siyo nzuri sana.
Kushuka kwa kodi pamoja na kupanda kwa gharama za maisha italeta...
Huko uliko bei ya mafuta ya petrol ni Tsh ngapi? Hali imeanza kuwa Tete baada ya kupanda Kwa bei ya mafuta.
Hali ikiendelea hivi, tutamkumbuka Magufuli mara kumi.
Serikali isipo angalia jambo hili, tunaelekea kusikojulikana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.