bei za mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Bei za Mafuta: Spika Tulia asema Bunge ndio linatunga Sheria sasa kama Serikali haitekelezi basi kuna tatizo kubwa

    Mbunge wa Sengerema Mh Tabasamu amesema tenda za mafuta wangepewa TPDC na Puma ambako serikali ina hisa zake basi bei ya mafuta isingepanda kwa kiasi ilichopanda. Tabasamu amesema waagizaji wa mafuta wanaoleta sasa bei yao ni mara mbili ya ile waliyoquote TPDC wakati wanaomba tenda. Lakini TPDC...
  2. Wenye nyumba kupandisha kodi je hii nayo inaenda na kupanda bei za mafuta?

    Kuna changamoto kwa sasa tunapitia watu kupandisha bei ya vitu kwa taarifa kuwa mafuta yamepanda bei sababu ikiwa vita vya Ukraine, sawa tunakubali ila kuna kama wengine wanafata mkumbo tu, maana jana mwenye nyumba wetu katuambia kodi mwezi ujao itapanda sababu ikiwa gharama za maisha kupanda...
  3. Tufanye nini ili kupunguza athari ya upandaji wa bei za mafuta? tulaumiane?

    Kuna baadhi ya vitu vinavyotokea ambavyo viko nje ya uwezo wa mtu mmoja au kundi fulani la watu. Kwa mfano, suala la upandaji wa bei ya mafuta katika kipindi hiki cha vita ya Urusi na Ukraine liko nje ya uwezo wa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania. Kuna watu wanamlaumu Rais, Wengine serikali...
  4. Mohammed Shabiby: Namna ya kupunguza bei za mafuta kwa 50% ya bei za sasa

    Shabiby atoa mwarobaini kupanda bei mafuta MBUNGE wa Gairo Mohammed Shabib ameitaka Serikali kuruhusu kampuni binafsi kuagiza mafuta wenyewe bila kutumia uagizaji wa pamoja. Shabiby ametoa ushauri huo leo Jumatano tarehe 6 2022 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Ofisi...
  5. Luhaga Mpina amlipua Waziri Makamba, amtuhumu kwa Uhujumu Uchumi. Atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua

    Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi. Mpina amesema wapo mawaziri hawajibu hoja za wananchi au huwa wanajibu...
  6. B

    Bei za Mafuta zinakoshuka watawala wao siyo wezi

    Haya yanatokea sehemu nyingi duniani. Jukumu la serikali ni kuwahami wananchi wake. Inatokea Zambia, Rwanda na kote ambako maslahi ya wananchi yamewekwa mbele. Kuwa viongozi wao si wezi, pana hata haja ya kuuliza? Kwa hakika tulipo, hitaji la kuwa na katiba itakayo tuhakikishia tuna watu...
  7. Kazakhstan: Serikali yajiuzulu kufuatia maandamano ya kupinga bei za mafuta

    Rais Kassym-Jomart Tokayev amekubali Serikali kujiuzulu kufuatia maandamano yaliyotokana na ongezeko la bei za mafuta. Ametangaza Hali ya Dharura kwa muda wa wiki mbili katika baadhi ya maeneo Nchini humo. Mikusanyiko mikubwa imeripotiwa katika Miji mikubwa kadhaa na Polisi wametumia mabomu ya...
  8. Serikali yatangaza kushuka kwa bei za mafuta

    Serikali kupitia Mamlaka ya Uthibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta. Taarifa iliyotolewa leo na EWURA inaeleza kwamba, Ikilinganishwa na bei za mwezi Desema 2021, bei za Januari 2022 zitapungua kwa kati ya Shilingi 4 na 35 kwa lita ya petroli; na kati...
  9. Sisi mambo yetu yapo Safi Wapinzani wanaumizwa na bei za mafuta na bidhaa mbalimbali

    Na bado. Sisi CCM hatuna shida haya ya mafuta kupanda hayatuumizi. Unayajua ma VIEITIII? Unayajua? Au unayasikua tu? Ndo tunayoyatumia. Hata hayali kabisa mafuta. Yanatumia upepo tu. So mafuta kupanda bei haituhusu. Sijuu bidhaa zimepanda bei, sijui maisha yamekuwa magumu. Tozo n.k hayo...
  10. Bei za Mafuta zapanda kuanzia Septemba 1, 2021

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 1 SEPTEMBA 2021 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 1 Septemba...
  11. Bei ya petrol imepanda tena lini?

    Habari ndugu. Mara ya mwisho naingia filling station bei ya wese ilikua 2,405 karibu sheli zote. Leo nimeingia kujaza wese nakuta bei inasoma 2427 kuna ongezeko la Tshs 22. Nakumbuka jamaa pale sheli alinambia na bado bei itaendelea panda. Tunakoelekea sahivi uchumi utadidimia na sio kukua...
  12. Bei za mafuta Zapanda tena

    Bei za mafuta zimepanda tena, hii inaashiria kuendelea kuongezeka kwa gharama za maisha. Pengine kwenye soko la dunia bei imeongezeka Ila serikali isingeongeza kodi kwenye mafuta kwenye hii bajeti mpya basi Bei zingekuwa kidogo afadhali. Sikujua kwa nini serikali iliongeza kodi kwenye mafuta...
  13. Bei ya Mafuta na Mfumuko wa bei, tumejipangaje?

    Bei za mafuta zinahusika moja kwa moja na mfumuko wa bei(Headline inflation) hii ni kwa kuambiwa lakini nimefanya pia analysis ya haraka haraka na kuona uhusiano mkubwa kati ya hivyo vitu, tafadhali angalia matokeo haya kutoka kwenye STATA nimetumia data ya mwezi kuanzia 2010 hadi 2020...
  14. Bei za mafuta zimelenga kudhoofisha uchumi na kuleta vurugu nchini

    Kuanzia tarehe 1 July, bei za mafuta, kuanzia petrol, diesel, kerosene zitapanda kwa kiwango kisicho na chembe ya uungwana. Maisha yatapanda. Mfumuko wa bei utapanda wakati kodi zitashuka maana hali naiona siyo nzuri sana. Kushuka kwa kodi pamoja na kupanda kwa gharama za maisha italeta...
  15. Kipi kimesababisha bei za mafuta kupaa hivi?

    Huko uliko bei ya mafuta ya petrol ni Tsh ngapi? Hali imeanza kuwa Tete baada ya kupanda Kwa bei ya mafuta. Hali ikiendelea hivi, tutamkumbuka Magufuli mara kumi. Serikali isipo angalia jambo hili, tunaelekea kusikojulikana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…