Salamalleikhoom wakuu!
Nataka tujadili kuhusu mada au hoja hapa JUU!
Biashara zote za bidhaa zinatawaliwa na aina moja ama nyingine za vipimo ili kuhakikisha kwamba MTEJA anauziwa bidhaa husika kupitia kipimo ambacho mteja na mfanyabiashara wana uhakika nacho.
Kwamfano ukinunua nyama au...