belarus

  1. beth

    Belarus: Serikali yaainisha chaneli maarufu za Upinzani kama Mashirika yenye itikadi kali

    Serikali imeainisha chaneli tatu maarufu za Upinzani Mitandaoni kama Mashirika yenye itikadi kali, ikimaanisha watu wanaweza kufungwa jela kwa hadi miaka saba kwa kujisajili. Chaneli katika Mitandao ya Kijamii zilitumika kwa wingi katika kuandaa maandamano makubwa dhidi ya Rais Alexander...
  2. Miss Zomboko

    Belarus: Kiongozi Mkuu wa Maandamano ahukumiwa miaka 11 jela na mwenzake miaka 10

    Kiongozi wa upinzani Belarus, Maria Kolesnikova amehukumiwa kifungo cha miaka 11 jela. Vyombo vya habari vya Belarus vinaripoti kuwa hii ni baada ya kuhusika katika maandamano ya mwaka jana kufuatia uchaguzi uliokumbwa na utata nchini humo. Mshirika wa Kolesnikova ambaye pia ni wakili Maxim...
  3. beth

    TANZIA Mwanaharakati wa Belarus akutwa amefariki dunia nchini Ukraine

    Vitaly Shishov ambaye ni Kiongozi wa Kundi linalosaidia watu waliokimbia Belarus amekutwa akiwa amefariki dunia karibu na nyumbani kwake Nchini Ukraine, ikiwa ni siku moja baada ya kuripotiwa hajulikani halipo. Polisi wamesema wanachunguza kama Shishov aliuawa na mazingira kutengenezwa ili...
  4. beth

    Belarus: Mpinzani wa Rais ahukumiwa kifungo cha miaka 14

    Mpinzani wa zamani wa Urais wa Taifa hilo, Viktor Babaryko, amehukumiwa kifungo cha miaka 14 jela baada ya kukutwa na hatia kwenye mashtaka ya kupokea rushwa na utakatishaji fedha. Babaryko ni miongoni wa Wapinzani wakuu wa Rais Alexander Lukashenko ambayo wamefungwa au kulazimika kukimbia Nchi...
  5. beth

    Marekani yapiga marufuku mauzo ya tiketi za Belarus

    Marekani imepiga marufuku mauzo ya tiketi za ndege kutoka na kuelekea Belarus, ikiwa ni mwezi mmoja tangu Ndege ya Ryanair ilipolazimishwa kutua na Mwandishi wa Habari kukamatwa Hatua hiyo ni mwendelezo wa maamuzi yaliyochukuliwa dhidi ya Rais Alexander Lukashenko ambaye anatuhumiwa kufanya...
  6. beth

    Belarus yawekewa vikwazo baada ya kulazimisha ndege itue na kumkamata Mwandishi wa Habari

    Viongozi wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kuwekwa vikwazo dhidi ya Belarus kufuatia tukio la Ndege kulazimishwa kutua ili kumkamata Mwandishi wa Habari mwenye aliye na mrengo wa Upinzani. Roman Protasevich alikuwa kwenye ndege kutokea Ugiriki kwenda Lithuania ambayo ililazimika kutua Mji...
Back
Top Bottom