Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu Benedicto mallaba kilichotokea Disemba 19, 2025.
===
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaungana na Watanzania wote kutoa salamu...