Rais wa China Xi Jinping hivi karibuni alifanya mazungumzo na Rais wa Benin Patrice Talon, ambaye alikuwa ziarani nchini China, na kutangaza kuanzishwa kwa ushirikiano wa wenzi wa kimkakati kati ya nchi hizo mbili.
Kuinuka kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili kutasukuma mbele zaidi ushirikiano...
Benin Unveils Giant 30-Meter-High Bronze Statue of An Agoji Warrior Woman
Benin’s President Patrice Talon has unveiled three monuments in the capital Cotonou to remind citizens to celebrate their historical heroes. The monuments include the garden of Mathieu, the statue of King Bio Guera and...
Mahakama moja Nchini humo imemhukumu mmoja wa Wapinzani wakuu wa Rais Patrice Talon kwa kuhusika katika vitendo vya ugaidi
Reckya Madougou ambaye amewahi kuwa Waziri wa Sheria katika Serikali ya Rais Thomas Boni Yayi amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela
Hukumu yake imekuja siku chache baada...
Nauliza tu: Baina Tanzania na Benin, nani alibuni mbinu huu, nani alikopi ???
Benin opposition leader Reckya Madougou has been sentenced to 20 years in jail for terrorism by a special court in the capital Porto-Novo, following a brief trial that her lawyers condemned as a "political attack"...
Salaam wakuu,
Binafsi ninaamini Aishi S Manula ndiye mlindalango bora wa kitanzania kwa sasa ila kuna jambo ananikera sana.
HAWEZI KUCHELEWESHA MUDA (nimemuona kwenye michezo mingi ikiwemo wa jana dhidi ya Benin) yani timu yake inaongoza bao moja na imeelemewa muda wote wanashambuliwa wao...
Swali hili ni La Kawaida Sana , tusilichukulie Ki Usimba Na Uyanga.
Goli La huyu Mwamba Msuva Lilikuwa Fantastic ...! Lakini ile misukosuko Iliyoelekezwa Langoni Kwa Stars Sio Ya Kitoto na Manula alifanya Kazi nzuri na Ya Ziada Kufanya saves za Maana...! Hatimaye tumeibuka Washindi.
Kwako Shujaa...
Kesho navalia kabisa na Jezi yangu ya Benin hivyo mliopo katika Kibanda Umiza Tegeta Nyuki ole wenu Kesho mniguse mtanitambua.
Na nimetoka kupata Mkanda wangu Mweusi wa Karate pale kwa Warusi Sea View Upanga na kwa Mwezi sasa Kocha wake Twaha Kiduku alikuwa akinifundisha Kupiga Ngumi za...
Tanzania(Taifa stars) kupambana tena na Benin kwa mara hii wakiwa ugenini Siku ya Jumapili Oktoba 10 kuanzia saa 10 za jioni, katika mechi za kuwania kufuzu kombe la dunia 2022 nchini Qatar.
Stars ilipoteza nyumbani dhidi ya Benin kwa kufungwa bao 1 kwa 0 katika mchezo uliopigwa dimba la Mkapa...
Hili Kocha Paulsen sijui lina nini Kichwani. Halafu amemtoa tena Mshambuliaji mahiri Tanzania nzima John Boko na Kumuingiza Mshamba Lusajo.
Kudadeki bora tufungwe tu Benin na kuanzia sasa nashangilia Benin. Mtu kama Feisal Salum ( Fei Toto ) anaharibu na Kurukaruka tu lakini hatolewi...
Tanzania(Taifa stars) and Benin meet at Mkapa Stadium on Thursday in a battle between two sides at the top of their World Cup 2022 qualifying group.
The sides are level on points and goal difference ahead of their double-header this week, with Tanzania set to travel to Benin on Sunday.
Another...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.