benki ya dunia

  1. Mkalukungone mwamba

    Rais Dkt. Mwinyi aishukuru Benki ya Dunia kwa Dola Milioni 100 Kuboresha Sekta ya Afya

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Benki ya Dunia kwa Msaada wa kiasi cha Dola Milioni 100 kwa ajili kuimarisha Miundombinu ya Sekta ya Afya hapa nchini. Rais Dkt.Mwinyi ameyasema hayo alipozungumza na Mkurugenzi Muendeshaji wa Benki hiyo...
  2. Meneja Wa Makampuni

    Benki ya Dunia Kuwapa Mitaji Vijana watakao wekeza kwenye nishati

    Benki ya Dunia imesema ipo tayari kutoa mitaji, dhamana na usaidizi wowote ili kuhakikisha Sekta binafsi inakuwa kipaumbele hususani katika kuwasaidia Vijana wa Afrika kufikia ndoto zao na maono yao kwa kuwekeza kwenye Sekta ya nishati. Akiongea wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika...
  3. ChoiceVariable

    Benki ya Dunia yajitoa Rasmi Kufadhili Mradi wa REGROW Kwa Madai ya Ukiukwaji wa Haki za Wananchi Wanaozunguka Hifadhi ya Ruaha

    Kwa mujibu wa taarifa ya Oakland Institute kama ilivyonukuliwa na MongaBay ni kwamba Wananchi wa eneo la hifadhi ya Ruaha walipeleka malalamiko Benki ya Dunia Kisha kufunguliwa Kwa kesi Kwa manyanyaso waliyofanyiwa na maafisa wa TANAPA ikiwemo kuporwa mifugo Yao kwenye zoezi la kutaka kupanua...
  4. Mtoa Taarifa

    Benki ya Dunia yaipa Tanzania Mkopo wa Tsh. Bilioni 238, kwa ajili ya kusaidia utekelezaji wa Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia nchini

    Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia (WB) wamesaini mikataba miwili (2) yenye thamani ya dola za Marekani milioni 104, sawa na takriban shilingi bilioni 248, kwa ajili ya kusaidia utekelezaji wa Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia nchini Tanzania, maarufu kama “PAMOJA”. Hafla ya utiaji saini wa...
  5. Mtoa Taarifa

    Benki ya Dunia yashusha Makadirio ya Uchumi wa Kenya kutoka 5.0% hadi 4.7%

    Ripoti ya Makadirio ya Ukuaji wa Uchumi ya Benki ya Dunia (WB) imeonesha Uchumi wa Kenya utashuka katika Ukuaji wake kutoka 5.0% ya makadirio ya awali hadi 4.7% ambapo Mafuriko, Maandamano dhidi ya Serikali na Juhudi hasi za Uimarishaji wa Uchumi vikitajwa kuathiri ukuaji huo. Pia, ripoti...
  6. Mtoa Taarifa

    Tanzania kupewa Tsh. Bilioni 779.9 kutoka Benki ya Dunia kwaajili ya utekelezaji wa Mradi wa TASAF

    Benki ya Dunia imeahidi kutoa kiasi cha takribani Dola za Marekani milioni 300 kwa ajili ya kusaidia Awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania ( @tasaf.tanzania ) ambayo inatajiwa kutekelezwa baada ya kukamilika kwa Awamu ya Pili ya...
  7. Mtoa Taarifa

    Mtendaji wa Kijiji aliyedaiwa kupanga wizi wa kura za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa adaiwa kuhama chini ya Ulinzi wa Polisi

    Mtendaji wa kijiji cha Sakawa wilayani Rorya #Tanzania Fredrick Nyobumbo amelazimika kuhama chini ya ulinzi wa polisi baada ya vitisho kutoka kwa jamii! Fredrick anatuhumiwa kupanga wizi wa kura katika kijiji hicho na hadi leo hakuna aliyetangazwa mshindi! Yaani @ccm_tanzania ijiandae kwa...
  8. Mtoa Taarifa

    Mtanzania Dkt. Wendeline achaguliwa kuwa Mkurungenzi wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika anayesimamia Nchi 22

    Benki ya Dunia, imemchagua Mtanzania, Dkt. Zarau Wendeline Kibwe, kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki hiyo atakayesimamia Kanda Namba Moja ya Afrika inayojumuisha nchi 22 ikiwemo Tanzania, nafasi ambayo Tanzania imewahi kuihudumu miaka 54 iliyopita. Uamuzi wa Dkt. Kibwe kuikwaa nafasi hiyo...
  9. Waufukweni

    Martin: Mwigulu tueleza ongezeko la Sh 1.85 Trilioni kwenye Mkataba wa Ujenzi wa SGR Tabora hadi Kigoma kabla ya kuomba fedha China na Benki ya Dunia

    Wakuu nimekutana na huu mjadala kuhusu zabuni ya ujenzi wa reli ya SGR kutoka Tabora hadi Kigoma ambao umeibua maswali muhimu kuhusu mchakato wa manunuzi na ufadhili wa mradi huo. Ingawa TRC ilitangaza makubaliano ya ujenzi na kampuni ya CCECC Desemba 2022, kuna maswali juu ya tofauti ya bei...
  10. Roving Journalist

    Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia akutana na Mawaziri Nchini wazungumzia uwezekano wa kufadhili vipande vya SGR vilivyosalia

    Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Victoria Kwakwa, amesafiri kwa njia ya Treni ya Kisasa-SGR kuanzia Dar es Salaam hadi Dodoma ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku 3 nchini Tanzania kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Benki ya...
  11. Stephano Mgendanyi

    Waziri Balozi Dkt. Pindi Chana Ateta na Wajumbe wa Benki ya Dunia

    WAZIRI BALOZI DKT. PINDI CHANA ATETA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Benki ya Dunia ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bw. Nathan Belete katika Ofisi za Wizara ya...
  12. econonist

    Mambo matano aliyosema Rais Samia jana yaliyonisikitisha

    Wakati Rais Samiah akiwaapisha Viongozi Jana , Kuna mambo matano aliyasema kwenye hotuba yake ambayo yalinisikitisha. 1. Jambo la kwanza Rais kadai mikopo inaifanya Tanzania inyayasike Nimehuzunika Rais anapokiri ya kwamba mikopo tunayokopa inatufanya tunyanyasike. Huyu ni udhaifu mkubwa wa...
  13. JanguKamaJangu

    DOKEZO Soko la Kijichi (Temeke) limejengwa kwa Mamilioni ya mkopo wa Benki ya Dunia lakini halitumiki, nini hatima yake?

    Hali ya soko la Kijichi lililopo kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ambalo lilijengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa miundombinu katika Jiji la Dar es Salaam (DMDP). Soko la Kijichi lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ambalo lilijengwa kwa gharama kubwa lipo tupu na halitumiki...
  14. Miss Zomboko

    Gabon: Benki ya Dunia yasitisha Mikopo na Ruzuku baada ya Serikali kushindwa kulipa Madeni ya awali

    Benki ya dunia imesimamisha haki ya Gabon kupewa mikopo na ruzuku kuanzia Julai 1 kutokana na kushindwa kulipa madeni yake ya zamani, barua ambayo Reuters imeiona imethibitisha hilo Jumatano. Taifa hilo la Afrika ya kati kwa sasa linalipa takriban mikopo 11 ya Benki ya dunia, kulingana na...
  15. Yoda

    Mwigulu, Sio kila jambo la Benki ya Dunia (WB) lina mashiko

    Nimemsikia Mwigulu anasema kwa kujigamba kwamba benki ya dunia inafanya tathimini sasa kama bado tunastahili kuitwa nchi masikini. Hivi ni kweli Mwigulu afahamu hali halisi ya maisha ya Watanzania wengi mpaka aisuburie benki ya dunia kumwambia? Benki yenyewe ya dunia kuna mambo huwa inapotoka...
  16. Pfizer

    NIC, TRC, Benki ya Dunia kuanza ujenzi Mabwawa sita kukabiliana na mafuriko na kulinda mradi wa SGR

    NIRC, TRC, BENKI YA DUNIA KUANZA UJENZI MABWAWA SITA KUKABILIANA NA MAFURIKO NA KULINDA MRADI WA SGR NA NIRC, Dodoma TUME ya Taifa ya Umwagiliaji kwa kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC) chini ya ufadhili wa Benki ya Dunia, inaendelea na utekelezaji wa hatua za awali za upembuzi...
  17. Pfizer

    Benki ya Dunia yaisadia Tanzania dola milioni 300 kuendelea kuimarisha sekta ya nishati nchini

    TANZANIA KINARA AFRIKA KWA USAMBAZAJI WA NISHATI KWA WANANCHI 📌 Tanzania na Benki ya Dunia kushirikiana katika miradi ya nishati 📌Benki ya Dunia yaisadia Tanzania dola milioni 300 kuendelea kuimarisha sekta ya nishati nchini 📌Tanzania yapongezwa kufanya vizuri usambazi wa umeme kwa wananchi...
  18. The Sheriff

    Benki ya Dunia yasitisha kufadhili mradi wa REGROW. Mradi huo unahusishwa na ukiukaji wa Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Mnamo Aprili 18, 2024, Benki ya Dunia imesitisha mara moja utoaji wa fedha kutekeleza mradi wa REGROW nchini Tanzania kuanzia mara moja. Hatua hii ni baada ya taasisi ya Oakland Institute kufanya advocacy kwa niaba ya niaba ya wakazi wa maeneo ambayo wataathiriwa na mradi huo. Mradi huo wa dola...
  19. Mystery

    Benki ya Dunia imefichua ukweli kuwa lindi la umasikini linaongezeka kwa watanzania!

    Tofauti na propaganda za serikali ya wanaccm za kila mwaka, kuwa uchumi wa watanzania unakuwa kwa asilimia kubwa kila mwaka, benki ya Dunia imewashushua waendesha propaganda hizo kwa kueleza ukweli kuwa hali ya maisha ya watanzania walio wengi, hususani wale wa hali ya chini, inazidi kudorora...
  20. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yawakingia Kifua Wakandarasi Wazawa Katika Utekelezaji wa Miradi ya Benki ya Dunia

    SERIKALI YAWAKINGIA KIFUA WAKANDARASI WAZAWA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BENKI YA DUNIA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameiomba Benki ya Dunia kupitia upya masharti ya manunuzi katika mikataba ya utekelezaji wa miradi ya miundombinu ili kutoa fursa kwa Wakandarasi wazawa kushiriki...
Back
Top Bottom