Leo Tarehe 29 Julai, 2021 Benki ya Dunia inazindua Toleo la 16 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania, yaani "16th Tanzania Economic Update"
Toleo la Hali ya Kiuchumi Tanzania huchapishwa mara mbili kwa mwaka na Benki ya Dunia, likiwa na lengo la kutoa mtazamo wa uchumi wa ndani wakati pia...
Hizi Taasisi kubwa kama IMF na Benki ya Dunia huwa wana taratibu za kujidhihirisha kabla ya kumpokea mgeni kutoka nchi fulani ambae huteuliwa kuwa waziri wa fedha.
Dr Phillip Mpango ni mwenyeji katika taasisi hizi za fedha duniani.
Ukiongelea masuala ya uchumi na Dr Mpango hupati shaka kwamba...
Wakuu wa nchi 13 za Afrika wamekutana Abidjan nchini Ivory Coast na kufanya mazungumzo ya jinsi ya kuhuisha uchumi kutokana na athari za virusi vya corona, kuongeza uwekezaji na upatikanaji wa ajira.
Mkutano huo umefunguliwa na Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast aliyetoa wito kwa Benki ya...
Benki ya Dunia (WB) imefungua dirisha kwa Tanzania la kusaidia kukabiliana na athari za ugonjwa wa Uviko 19 katika Sekta mbalimbali ikiwemo ya Utalii, biashara na bajeti ya Serikali.
Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alipokutana na...
Lazima kutambua wakati wote benki ya dunia ni benki tu kama zingine kipaumbele chake ni faida. Wenye hisa wakubwa ni marekani na nchi za ulaya. Kwa mfumo wa kibepari wafaidika namba moja na benki ya dunia ni mabepari wakubwa wa nchi hizo.
Kutokana na hivyo nchi changa sio rahisi kupata...
Wadau wa JF
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Benki ya Dunia (World Bank) imefanya uteuzi wa Meneja wake Nchini Cambodia
Aliyeteuliwa ni Bi Maryamu Salim ambaye ni Mtanzania mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya 20 kwenye sekta ya fedha duniani
Kabla ya uteuzi huo Bi...
Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Dunia imeidhinisha mikopo minne yenye masharti nafuu yenye jumla ya dola za Marekani bilioni 1.017 (sawa na shilingi trilioni 2.3391) kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe...
Benki ya Dunia (WB) imesema inasaidia nchi zinazoendelea katika zoezi zima la kupata na kutoa chanjo ya COVID19
Pia itasaidia kuimarisha mifumo ya utoaji chanjo na kuhakikisha utoaji chanjo kwa watu walioko katika hatari zaidi ya kupata maambukizi
Wamesisitiza kuwa hakuna atakayebaki salama...
Leo Machi 3, 2021 Benki ya Dunia inatoa Ripoti yake ya uchambuzi huru wa hali ya kiuchumi ya Tanzania ikiwa ni toleo la 15.
Jiunge nasi tukikuletea taarifa mubashara.
LIVE:
YouTube:
Facebook:
Salaam za ufunguzi zilizotolewa na Mara K. Warwick, Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za...
Benki ya Dunia inatarajia kufanya uzinduzi wa Toleo la 15 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania “Tanzania Economic Update” kesho tarehe 3 Machi, 2021.
Ripoti hii ya uchambuzi huru wa Benki ya Dunia inaangazia changamoto, mafanikio ya kiuchumi, hali ya umasikini, vipato, rasilimali watu...
Rais wa Benki ya Dunia(WB) David Malpass amesema wamefurahishwa na namna Ghana inavyojizatiti kutoa dozi za chanjo kwa wananchi wake
WB ipo katika hatua za mwisho kuipa Ghana dola Milioni 100 sawa na takriban Tsh. Bilioni 232 ili kununua dozi zaidi za kuwatibu wananchi wake
Awali WB ilijiatiti...
Salaam Wakuu,
Benki ya Dunia inatazamia kutoa Dola za Kimarekani Milioni 425 katika mpango wa miaka mitano wa uboreshaji wa elimu ya juu ili kwendana na Mabadiliko ya Kiuchumi
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (MoEST) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia inaandaa mpango wa miaka mitano wa...
Umoja wa Ulaya (EU) kupitia Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), umeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 30 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 84 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kujenga miundombinu ya kusafirisha umeme kati ya Tanzania na Zambia.
Sehemu ya fedha hizo, kiasi cha Euro...
Kuna Malazy waliokuwa wanaposti hapa matamshi ya waziri wa kawi wa Tanzania Dr. Medard Kalemani akisema kuwa TZ ndio ina highest electricity coverage in Africa . Walitaka kutuaminisha kuwa TZ ina higher access to electricity kushinda hata South Africa au Egypt.
Niliambia mmoja anayeitwa Naton...
Huu si uzushi wa Mwalimu M-Mbabe, la hasha. Ni taarifa rasmi kutoka World Bank.
Awamu ya 4 ilipunguza idadi ya masikini kutoka milioni 13 mwaka 2007 na kufikia milioni 12 mwaka 2012.
Chini ya awamu ya 5, idadi ya masikini ili shoot kwa milioni 2 ndani ya miaka 3 tu ya uongozi wake. Tafsiri ni...
Benki ya dunia imeitahadharisha Serikali ya Tanzania juu ya ukubwa wa deni lake lililofikia trillion 47+ kwa rekodi mpaka mwezi Mei mwaka huu.
Imetaja japo deni bado ni himilivu lakini Tanzania lazima iwe makini maana linaelekea kutokuhimilika
Chanzo: Mwananchi
====
Licha ya Serikali...
Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "
Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali
Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa...
Nashangaa,nchi zote zinazopakana na sisi zimepewa msaada wa haraka na benki ya dunia,IMF,na kuweka kidonda chumvi. Trump kaongea na marais wa nchi tunazopakana nazo na kuahidi misaada kedekede.
Je ule utani wa kuwaita mabeberu wao walijua tunawachukia?sisi watanzania ni watu wa utani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.