Yaani bila aibu wala kujistukia kidogo, tena eti ananiita''mume wangu'', kheee!! Watu tupo bize na vita ukraine uko, yeye anataka kuanzisha vita yake na hela zangu!!!
Pumbavuuu, kaona nimeuchuna mpaka eti ananiambia kadri ninavyochelewa kumtumia hela ndio anazidi kuchelewa kuja.