benz

Mercedes-Benz (German: [mɛɐ̯ˈtseːdəsˌbɛnts, -dɛs-]) is a German global automobile marque and a division of Daimler AG. Mercedes-Benz is known for luxury vehicles, vans, trucks, buses, coaches and ambulances. The headquarters is in Stuttgart, Baden-Württemberg. The name first appeared in 1926 under Daimler-Benz. In 2018, Mercedes-Benz was the largest seller of premium vehicles in the world, having sold 2.31 million passenger cars.Mercedes-Benz origins' come from Daimler-Motoren-Gesellschaft's 1901 Mercedes and Karl Benz's 1886 Benz Patent-Motorwagen, which is widely regarded as the first internal combustion engine in a self-propelled automobile. The fuel was not gasoline, it was a much more volatile petroleum spirit with several names including ligrane/ligrain/ligroin. This was used as a degreaser, spot remover, paint thinner, etc. and was so quick to burn or explode, it was not stored inside. The slogan for the brand is "the best or nothing".

View More On Wikipedia.org
  1. Zombie S2KIZZY

    Ngwair ft Chid benz - speed 12 vs Nipsey Hussle - kush n haze

    Ipi Kali Sana kati ya hizi ngoma speed 120 iliyotoka 2008 au kush n haze iliyotoka 2006. Nimekuwekea ngoma zote mbili hapo uzisikilize Dondosha maoni hapo chini👇👇 NB:RIP kwa Albert Mangwea RIP kwa Nipsey Hussle Long live kwa Chid Benz
  2. and 300

    Mercedes Benz - C Class Sedan C220 limenyopa tayari

    Wakuu hii gari haina mwezi TZ tayari limenyopa mataa kibao daah hapa home na hela sina. Nafanyaje?
  3. A

    Mercedes Benz Sedan Vs Subaru Forester?

    Nimejichanga Sasa nataka kununua gari ili kujipongeza. Je gari gani ya kununua? Kati ya Benz E200 ya kuanzia 2009 Vs Subaru Forester XS ya kuanzia 2008.
  4. kali linux

    Nimerepair trucks za DAF, Scania, MAN na Benz upande wa umeme lakini MAN tuwape mauwa yao, mpangilio wa mfumo wao wa umeme ni rafiki sana

    Hello bosses and roses... Humu watu baadhi wananijua kama computer programmer ila mie ni fundi magari pia. Kiukweli hizi gari za MAN wamejitahidi sana upande wa umeme, wiring iko organized vizuri mno, ukichukua MAN moja na trucks za makampuni mengine zenye range sawa ya bei basi utakuta MAN iko...
  5. Mbulukenge

    Chid Benz hali tete

    Huyu gwiji wa kitambo ndio amefikia huku kweli?
  6. BigTall

    Zanzibar: Waziri wa Fedha aelezea sakata la Mbunge Toufky Turky, asema amekamilisha kulipa ushuru wa Marcedes Benz G Wagon, ampongeza

    Baada ya awali kuelezwa kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ipo mbioni kuuza mali za Mbunge Toufky Turky ambaye ni Mfanyabiashara aliyedaiwa kushindwa kulipa ushuru wa Gari aina ya Marcedes Benz G Wagon aliloliingiza Nchini Januari 2022, fafanuzi umetolewa. Waziri wa Fedha na Mipango wa...
  7. Chakaza

    Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

    Sikuwa namtilia maanani sana msanii huyu awali lakini baada ya kumsikiliza nimegundua ana akili sana tofauti na wanavyo mchukulia watu wengi. Mwishoni mwa mahojiano yake katoa ushauri Kwa Makonda aache kujiingiza mambo mengi yasiyo maana ikiwemo wasanii Kwa kutaka wamsifie wakati wao wanataka...
  8. barcelonista

    Ngwea vs Chid Benz: Nani hatari zaidi?

    At their peaks Albert Mangwair na Chid Benz nani hatari zaidi? #forgive Me.
  9. KJ07

    Mnamuonaje cheed benz

    Habari za wakat huu leo nilitaka tutoe mawazo yetu kutokana na hali ya kimziki ya cheed benz haswa baada ya kutoka katika uraibu wa madawa ya kulevya Je ameanza kurudi kweny form au bado kuna jitihada zifanyike kumrudisha kwenye mstari Nawasilisha wakuu
  10. msovero

    Huenda hiki alichokitabiri msanii Chid Benz kwa Makonda kikatimia?

    Baada ya waziri wa habari kudai wanasubiri ripoti ya uchunguzi wa uvamizi wa kituo cha runinga cha clouds dhidi ya aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa dar es salaam bw. Paul Makonda imenikumbusha ushauri aliowahi kupewa RC huyo wa zamani na msanii wa kizazi kipya 'Rashid Makwilo' a.k.a 'Chid Benz'...
  11. GENTAMYCINE

    Alipoingia alisema hataki 'Mabango' sasa Kazoea Utamu wa 'Mercedes Benz' anasema yakusanywe yote ili yafanyiwe Kazi je, tumueleweje?

    Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia. Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana hata Juzi Nyerere Day Shada la Maua limewekwa Chato Mkoani Geita kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021...
  12. Gushleviv

    Mercedes Benz C200 Compressor

    Habari wakuu, Kuna jamaa yangu anahitaji kuagiza Gari hii Mercedes Benz C200 Compressor ya Mwaka 2004. Sasa tumeulizia kwa fundi mmoja anasema jamaa asinunue hiyo gari sababu ni mbovu sana na kwamba Cylinder Head yake ni ya Alluminium hivyo imitokea gari imechemsha mara moja tuu basi ndio mwisho...
  13. M

    Mercedes benz yamjibu Tesla vibaya sana

    Mzuka wanajamvi! Mjerumani kaamua kutoa kifaa kipya cha umeme EQS electric car ambayo ni tishio kwa Tesla. Inaaminika is the most luxurious electric car in the market. Gari hili linalotumia umeme tu liko aina mbili EQS 450+ Na EQS 580 4matic. Imeshaingia sokoni toka mwezi wa 8. na utitiri wa...
  14. KIMOMWEMOTORS

    Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    HABARI YA MAJUKUMU? KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU. VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
  15. R

    Mzee Mwinyi kanunuliwa Benz tunapiga kelele kila kona lakini yanayofumbiwa macho bado ni mengi zaidi

    Habari wadau Tanzania ni nchi tajiri sn na usije ukajidanganya kuwa setikal haina hela serikal hela inazo sema ziko chemba kwa matumiz ya watu fulani fulan na maelekezo kutoka juu. Mwinyi kapewa zawad ya Benz TZ million 400 mnapiga kelele kila kona kisa pesa za kodi naomba niwaulize maswali...
  16. mr mkiki

    Prof. Issa Shivji: Nilihudhuria birthday ya Mwalimu, sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha

    "Nilihudhuria 70th (1992) birthday ya Mwalimu. Sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha. Alipokuwa anaondoka, mama mmoja kampa portrait yake aliyechora mama huyo mwenyewe. Akamambia msaidizi wake apokee. Zawadi ya Benz kwa Mzee wetu ikanishtua kidogo." -- Issa...
  17. TODAYS

    MADA YA WEEKEND: Wazee wa Dar na Benz la Mwinyi

    Wakati wa uzinduzi wa kitabu cha maisha ya mstaafu mzee Ally Hassan Mwinyi mambo mengi yamesemwa na hata baadaye kuonekana issue hii kuibukia kwa Simba na Yanga. Twende kwenye hoja. Wazee wa Dar waliofika kumsikiliza mama kama walikuwa 1000 basi kwa bei ya gari linalotakiwa anunuliwe mstaafu...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mercedes Benz future Truck

    Kwa wapenzi wa magari makubwa, teknolojia na Mambo yajayo. Hebu ioneni hii Mercedes Benz truck itakayoingia rasmi sokoni mwaka 2025.
  19. Keynez

    Mercedez Benz na BMW ni magari ya kifahali lakini yenye dashboard mbaya

    Moja ya vitu ninavyoangalia katika kutathmini mvuto wa gari ni dashboard au sehemu ya mbele ya gari pembeni ya usukani. Mercedez Benz na BMW ni magari yanayoheshimika sana na yamebaki na quality zake ya ubora ikiwemo brand zinazothaminiwa, engine na uimara kwa miaka mingi. Kwa muonekano wa...
Back
Top Bottom