bernard membe

  1. Baada ya kuzidiwa na nguvu ya umma, Bernard Membe kufafanua kauli ya Nape

    Wiki moja baada ya mwanasiasa nguli nchini, Bernard Membe kurejea rasmi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) tangu alipofukuzwa mwaka 2020, hatimaye ameeleza kuhusu kauli iliyozua utata iliyotolewa siku ya kukapokewa kwake. Mei 29 mwaka huu Waziri huyo wa zamani wa Mambo ya Nje ya Nchi...
  2. Nini kimemkuta Bernard Membe hadi kubadili msimamo wake mpaka kuomba msamaha mara tatu?

    Kipindi cha sakata la Membe,Makamba na Mzee Kinana kuhojiwa na kamati kuu Mh Membe pekee ndiye aliyegoma kuomba radhi kwa chama na viongozi kwa madai kuwa hakuna kosa alilofanya na alisema yuko radhi kufukuzwa lakini kamwe hatoomba msamha! Na kweli Membe alifukuzwa chamani na kukimbilia ACT...
  3. Kwa kichwa cha habari cha gazeti la MWANANCHI la leo Aprili 1, 2022 unajifunza na kugundua nini?

    Kinasema... 'Wamerudi Aiseeee" Tafadhali wale Wabobezi na Wanazuoni wa Lugha adhimu ya Kiswahili tunaomba mje hapa mtuelimisha maana na dhana pana na Neno 'Wamerudi' halafu hapo hapo tena Mtu anasema Neno 'Aiseeee' katika kumalizia. Karibuni.
  4. Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

    Membe amwaga siri Magufuli alivyomfitini Atoboa mengine ya Bashiru, Polepole na wengine Aeleza namna Magufuli alivyomkwamisha Kenyatta DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (68), hatimaye amefichua mambo yaliyomfanya...
  5. Kwangu mimi huyu ndio kachero bora na mwana mikakati hodari zaidi ya Membe

    Habari za asubuhi ndugu zang wa JF, Ama baada ya salam naomba nielekee sasa kwenye mada yangu. Ndugu zangu wakati nchi yetu inalazimishwa kuingia katika mfumo wa vyama vingi na nchi za magharibi, serikali ya Tanzania chini ya raisi wa wakati huo mzee Rukhsa ilikataa mfumo huu kwa kuona kwamba...
  6. B

    Iwe uongo au kweli, hapa Upinzani wana cha kujifunza

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Pamoja na yote lakini Edward Lowassa alijitahidi kuipambania CHADEMA kwenye uchguzi mkuu wa 2015 ingawaje alishindwa kuipigania baada ya uchaguzi kupita. Lakini hali kwa Lowassa ikiwa hivyo, Membe ndio sikumuelewa kabisa. Kwanza ile anaingia tu ACT na kupewa...
  7. B

    Maajabu ya Kachero Mbobezi - Bernard Kamilius Membe

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni: Huyu ndiye Bernard Kamilius Membe mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo akiwa mwana CCM. Hili bila shaka ndiyo lile bao almaarufu la dak ya 90. Kazi kweli kweli.
  8. K

    Bernard Membe ni kachero asiye na maarifa, mwingi wa tamaa na majivuno

    Kuna wqtu utumika kumsifia Membe kama kachero Mbobezi bila kueleza amebobea kwenye lipi? Je, nchi yetu inaweza kujivunia Membe Kama kachero au ni mtumishi wa Umma aliyeajiriwa ofisi nyeti kwa kipindi flani? Kwa namna alivyojitanabaisha wakati akiwa Mbunge, akawa Waziri na baada ya kupokonywa...
  9. Bernard Membe huna sifa wala uwezo wa kuwa 'campaign manager' wa Rais Samia

    Aliyekuwa mgombea urais wa ACT Wazalendo kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 na akaishia kufanya kampeni kwenye kijiji cha Rondo huku akijinasibu kuwa anataingia na kufunga goli dakika ya 90 bwana Bernard Membe, leo mbele ya waziri mkuu ametangaza kumuunga mkono rais Samia na kusema yupo tayari kuwa...
  10. Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee

    Salaam Wakuu, Mwanadiplomasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020. Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema...
  11. K

    Kachero Mbobezi Bernard Membe kurudi CCM leo?

    Niko hapa Kijiji cha Mnala, Chiponda mkoani Lindi. Kuna ziara ya PM Majaliwa. Miongoni mwa wageni maarufu waliofika kumpokea mbali na Nape Nnauye ni pamoja na Membe aliyepokewa kwa heshima kubwa na wana CCM. Najiuliza je, leo anarejea chama chake cha zamani? Tusubiri dakika chache zijazo. Ova!
  12. Yuko wapi aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe?

    Wakuu kama ilivyokuwa kwa Kinana, Balozi Membe hajaonekana kwenye matukio makubwa ya kitaifa kuanzia msiba wa Hayati mpaka shughuli za kitaifa zilizofuatia Yuko wapi? Kama sikosei muda mchache kabla ya uchaguzi alienda zake Dubai na sina kumbukumbu kama alirudi tena nchini. Nadhani hisia zake...
  13. Ukimya wa Bernard Membe

    Kimya mzee wa watu! Ukweli ni kwamba huwezi kushindana na JPM ukabaki salama kwa sababu JPM ni chaguo la Mungu. Mbwembwe, majigambo na hata kumtisha JPM eti akiguswa atanuka leo; yote hayo ni maneno ya mkosaji na hayana tija tena. Mitandao ilimdanganya anapendwa naye bila kufanya utafiti...
  14. Bernard Membe, aliyekuwa mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo kwenye Uchaguzi 2020, ajiondoa kwenye chama hicho

    Bernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiko ambapo alifanya kampeni mikoa michache Aidha, Membe, mwanachama mwenye...
  15. Bernard Membe yu wapi jamani?

    Ndugu wana jukwaa salam, Uchaguzi umepita na sasa ni wakati wa kuchapa kazi kujiletea maendeleo. Lakini si vibaya tukajuzana juu ya washindani katika nafasi mbalimbali, kwa mfano mzee wa niguse ninuke ama mzee wa bao la dakika ya 89 katika kinyang'anyiro cha ofisi namba 1 jamani yu wapi? Au ni...
  16. S

    Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Uchaguzi huu ulikuwa wa madudu

    Watanzania wenzangu kuna barua inasaambaa kwenye mitandao ya jamii inayodai kwamba mimi nimempongeza Rais kwa ushindi wa Urais.Barua hiyo ni fake na ipuuzeni. Kamwe siwezi kumpongeza kwa uchaguzi wa madudu kama huu. Sana sana nitamwandikia kumwomba ajiuzuru ili uchaguzi urudiwe-Bernard Membe...
  17. Uchaguzi 2020 Bernard Membe alijitoa kugombea Urais kupitia ACT-Wazalendo tangu Septemba 24. Barua yake ilikataliwa

    Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo aliandika barua kujiondoa rasmi kugombea nafasi hiyo. Hata hivyo, barua yake ilikataliwa. Barua ambayo imesambaa mtandaoni imeonyesha hivyo na Kiongozi wa chama, Zitto Kabwe ameithibitishia JamiiForums kuwa ni barua ya kweli na kuwa...
  18. M

    Bernard Membe kuongea na Wahariri leo Oktoba 19, 2020

    Kuna taarifa za awali zinaonyesha kuwa ‘Kachero Mbobezi’ ndugu Bernard Membe ameamua kufanya ‘maamuzi magumu’ na hivyo asubuhi ya leo mida ya saa 4 anatarajiwa ‘kulipuka’ mbele ya Wahariri wa Vyombo vya Habari jijini Dar. Je, tutarajie yepi toka kwa hili ‘joka la mdimu’? A) Atafanya kama Dk...
  19. Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe yuko wapi? Siku zimebaki chache na haeleweki

    Wakuu Salaam: Bernard Membe kama kabwaga manyanga basi tutangaziwe rasmi maaana haonekani kokote. Kama amerudi tena India tujue mgombea wetu saivi hayuko nchini! JPM ratiba zake ziko wazi na kama hafanyi kampeni basi ratiba inaonyesha kua ana likizo, kulikoni Membe?
  20. Uchaguzi 2020 Wapi kimbunga cha Bernard Membe jamani?

    Hivi karibuni tuliambiwa kuwa kutakuwa na Kimbunga cha Bernard Membe. Kiko wapi? Je aliwalaghai wananchi mbona hata hajatoa taarifa za Kukacha Kampeni? Je, ulaghai kama huu wananchi watauvumilia kweli na Kumpa kura tarehe 28?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…