Ndugu zangu najua mtakuwa mnanishanga . kila kukicha ukweli ni kwamba bado ACTwazalendo wanaongea na CHADEMA tuweze kuwa kitu kimoja, lakini hadi sasa mambo ni mazuri na kama mnavyo ona hi graph ndivyo mdogo wangu @TunduALissu atakavyo shinda kama wa Tanzania, tukiamua. - Bernard Membe
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Bernard K. Membe amenena yafuatayo :"Tukio la kutekwa kwa Msaidizi wangu Jerome Luanda jana mara baada ya kutua kwenye kiwanja cha Kimataifa cha JK Nyerere international Airport nitalizungumzia kwa undani Saa 10 kamili leo. Nimewapa wahusika wanaodhani siwajui...
HATOKI MTU HAPA! Wale wote wanaodhani kuwa Nitajiondoa katika kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, wanaota ndoto za Mchana. Kimbunga kitakachoanza tarehe 15 September 2020 October ni Kimbunga kumbakumba! Watanzania kaeni chonjo!
Hahaha! Membe bana. Hivi atafika hadi mwisho wa uchaguzi kweli?
Sasa hivi yupo ITV.
===
Ikiwa kampeni zinaendelea kupamba moto, vituo mbalimbali vya utangazaji vimeanza kuwahoji baadhi ya Wagombea wa nafasi ya Urais wa Vyama mbalimbali.
Wiki iliyopita mnamo September 3, ITV ilimhoji Ndugu...
Nimeangalia mkutano wa Membe kule Kusini. Amewaambia wananchi wa Lindi wamuulize Magufuli maswali 4.
1. Wapo wapi watu wetu waliopotea? Yaani wale waliotekwa na hatuwaoni tena.
2. Wamuulize kwanini mikoa ya kusini imesahaulika kwenye miradi ya barabara
3. Kwanini hakuendeleza mradi wa gas
4...
Mpaka hivi leo nawaza na ninamtafuta huyu Mtu (Mtanzania) aliyemdanganya kabisa wazi wazi Bernard Membe kuwa ana 'Mvuto' wa 'Kisiasa' na kwamba 'akigombea' Urais nchini Tanzania kwa Kushindana na 'Mwamba wa Chato' Rais Dkt. John Magufuli na CCM yake (yangu) anaweza 'Kumshinda' na kuwa Rais wa...
Tukubali tukatae, upinzani nchini una hali ngumu sana sio kifedha tu bali pia katika uhamasishaji! kwa kifupi, HAUKUJIPANGA VIZURI
Mkutano wa ufunguzi wa CHADEMA umetoa majibu mengi kuhusu mustakabali wa vyama vya upinzani nchini. Kupiga kelele nyingi haina maana kuwa wanaopiga kelele ni wengi...
Kwa dhati ya moyo wangu napenda kukiri kuwa mimi ni admirer wako toka ukiwa Waziri wa mambo ya Nje wa Tanzania.
Lakini kwa hali ya Siasa ilivyo nchini mwetu na kiu ya watanzania kuondokana na kivuli kizito kilichodumu kwa zaidi ya miaka 59 cha umasikini uliokithiri, ujinga, maradhi, ukiukwaji...
Kachero ni kachero tu!
Najua sitavunja sheria wala kanuni hapa.
Bernard Membe, Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya ACT Wazalendo 2020. Historia yake ya kisiasa na utumishi inajulikana. Itoshe tu kusema ni Mtanzania ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali za kisiasa na kitaifa.
Tangu...
Anayevuma kwa sasa ni Tundu Lissu tu.
Na si kwamba anavuma kwa sababu ana sera bora na anazinadi kwa ustadi!
La hasha.
Anavuma tu kwa kelele kelele anazozipiga akiwa huko kwenye mizunguko yake ya kutafuta wadhamini.
Sasa ikija kwa Bernard Membe, si ajabu ukimwuliza Mtanzania wa kawaida...
Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa wagombea wote watakaoteuliwa kugombe Urais kuanzia, CCM, CHADEMA , ACT - Wazalendo nk ili tuwapime kwa...
Kauli hii ina maana gani kwamba ni ahadi ya Mh Membe kuwa atakaposhinda kiti cha Urais na kuapishwa basi siku inayo fuata viongozi wa dini watarudishwa Zanzibar.
Hapa anamaanisha mashekhe wa uamsho ama ni viongozi wepi hao?
Na je kurudishwa Zanzibar tu ama kuachiwa huru kabisa mbona ameweka...
Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja.
Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.
Hakuna grand coalition ya wapinzani, hakuna makubaliano rasmi kwa maana ya MOU kwa sababu sheria na kanuni mpya za uchaguzi zimeshawapiga stop kua wamechelewa
Lakini kuna Gentlemens' Agreement miongoni mwa vyama vikuu viwili vikubwa vya upinzani. Haisemwi, haiandikwi, haiwekwi wazi lakini ndio...
Bernard Membe amekuwa akipitia nyakati mbalimbali za machungu makubwa kwake katika harakati zake za muda mrefu za kuitafuta Ikulu ya Chamwino. Mapigo hayo yamezidi kufifisha ndoto yake hiyo ya mchana ambayo amekuwa akiiota kila uchao.
Pigo la Kwanza: Hili pigo alilipata mwaka 2015. Ni dhahiri...
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mwibara kwa kipindi cha miaka 10 mfululizo kuanzia mwaka 1995 hadi mwaka 2005 Mheshimiwa MUTAMWEGA MGAYWA amepitishwa kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU) katika Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi octoba...
Najaribu kufikiria itakuwaje maana CCM walionyesha kumpitisha kwa 100% hili wanalijua wenyewe walicho kifanya mpaka apite kwa 100% hata watu wa Lindi Wajumbe wanaoishi katika Jimbo alilotoka Membe nao walimpitisha kwa 100% tunaelewa maana yake hii tunaita kwa kingereza Flatering, majibu yao...
Ni dhahiri mh Bernard Membe ametudanganya kuwa ana ushawishi mkubwa ndani CCM jambo ambalo sio kweli. Utulivu ulio ndani ya Chama unatia mashaka na kutufanya wengi tujiulize maswali hiki kinachoitwa team Membe ndani ya CCM kiko wapi? Au ni kwamba wamempuuza?
Mbona hatuoni mgawanyiko wa chama...
Kwa Nyie Diaspora
Mgombea mwenye kutetea maslahi yenu kwenye suala la Uraia pacha ni Bernard Membe
Katika hii clip Rais Mtarajiwa Bernard Membe anazungumzia Umuhimu wa uraia pacha, anatambua magumu mnayopitia huko katika nchi mnazoishi
Kwa mfano katika nchi ambazo Healthcare costs ni ndogo sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.