bernard membe

  1. CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa Membe aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Tanzania amefukuzwa ndani ya chama hicho Amesema uamuzi huo umekuja baada ya taarifa zake ndani ya chama kuonesha mwenendo wake kutoka mwaka 2014 kuwa amewahi kupata...
  2. Bernard Membe aitwa kwenye Kikao cha Kamati ndogo ya Udhibiti wa Nidhamu CCM

    Kupitia Ukurasa wa Mtandao wa Kijamii wa Twitter, aliyekuwa Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amesema ameitwa Jijini Dodoma kwenye Kikao hicho cha CCM Amesema amepata barua ya kuitwa hapo jana na ataudhuria bila kukosa au kuchelewa kikao hicho kitakachofanyika Februari 06 saa 3...
  3. Bernard Membe: Kamati ya Maadili CCM bado haijapata ujasiri wa kutuita rasmi kuhojiwa

    Huyu kweli ni "Mwamba wa Kusini". Sina cha kuongeza..... msome mwenyewe!
  4. Dkt. Bashiru awashangaa wapenda ‘Kazi na Bata’. Asema kauli hiyo inachangia kuzorotesha Uchumi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally, amewataka wananchi kupuuza kauli ya kufanya kazi na kula Bata ambayo imeratibiwa na Mbunge wa Kighoma Mjini Zitto Kabwe na kusema kauli hiyo itachangia kuzorotesha uchumi wa Taifa. Dkt. Bashiru amesema kuwa, katika nchi ambayo wananchi...
  5. Video: Bernard Membe akutana na kuteta na Baba Askofu Ruwai'ch

    Wakuu, natanguliza salamu za sikukuu, bila shaka mnasherekea kwa amani, hata hivyo pamoja na kusherehekea nimeona nisiwaache hivi hivi tu.
  6. Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

    Wakuu, Taarifa nilizozipata punde zinaonyesha ndugu Allan Kiluvya ametekwa jana usiku maeneo ya Mbezi. Allan anadaiwa kuchukuliwa na watu takribani 7 waliokuwa na silaha. Benard Membe ambaye alikuwa Mbunge wa Mtama, ni mwanasiasa aliyefikia viwango vya juu nchini Tanzania, alikuwa Waziri wa...
  7. Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

    Nianze kwa kuomba samahani kwa niliowakwaza kwa heading hapo juu! I am a realist and I wish to remain so! Upinzani haujafa kama JPM alivyotamaani ila umeumia! Our house isn't in orderWe can't realistically mount a challenge against Membe come 2020! I want to forget about JPM because he is...
  8. Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Habari za muda mabibi na mabwana! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora. Karibuni kwa maoni yenu. ====
  9. Wasifu wa Bernard Kamilius Membe

    Bernad Kamilius Membe alizaliwa tarehe 9 Novemba, 1953, Rondo, Chiponda, katika Mkoa wa Lindi, akiwa ni mtoto wa pili kati wa watoto saba (7) waliozaliwa katika familia ya Mzee Kamillius Anthony Ntachile na Mama Cecilia John Membe. Kwa kabila, Bernard Membe ni Mmwera, na kama ilivyo desturi ya...
  10. Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

    Friends of Bernard Membe at the University of Dar-Es-Salaam still believe they have got their man who is heading nowhere but to the state house in replacement of JK comes 2015. This can only narrate why the UDASSA was so eager and willing to invite Membe as their chief guest at Nkrumah Hall...
  11. M

    Si Membe aliyesababisha biashara ya Korosho kudorora, maamuzi ya kukurupuka ndiyo yametufikisha hapa!

    Ni hivi: Siyo Membe aliyesababisha biashara ya Korosho kudorora huko kusini. Ni maamuzi ya kukurupuka ndiyo yametufikisha hapa. Ni sawasawa na walivyozuia wanunuaji wa Kahawa kutoka kwa madalali na matokeo yake kujikuta hawawezi kumtosheleza mkulima kwa soko bora na bei nzuri. Jamani Mkapa...
  12. Uraia Pacha Tanzania: Siasa ya Bernard Membe na hatma yake

    Salaam wanaJF! Katika kipindi kirefu sana kumekuwa na mjadala juu ya kuruhusu uraia wa nchi mbili 'dual citizenship' katika taifa letu. Mjadala huu umepamba moto sana haswa katika uongozi wa waziri Bernard Membe. Hata katika hotuba ya bajeti ya wizara mwaka 2011/2012, ndugu Membe alizungumzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…