Nasikia kitu kizito kimeshatua huko Ila imetoka kwa lugha ya malkia mwenye taarifa atuwekee kitu hapa
====
MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana na kumfanya mchezaji huyo kuwa halali...
baada
bahasha
bernardmorrison
gsm
habari
hassan bumbuli
hukumu
huruma
kitu
kutoka
mungu
mwakalebela
rufaa
sana
simba
simba sc
uso
watangazaji
yanga
yanga sc
Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa (Mkuu wa Jopo la Mawakili) wa hovyo hovyo waliojitutumua Kupambana na Wakili Msomi Mmoja tu Raia wa Ghana huko CAS Bernard Morrison na leo Kawaumbua.
Kuna Wakili Msomi Mmoja (tena Mwandamizi tu) aliwahi kunipa Takwimu za Kesi...
Hivi ndivyo wenzetu wanavyojali wachezaji wao...
Ona ghetto la mchezaji wao wa kimataifa linavyo fanana.
Yanga SC mna mengi sana ya kujifunza...kutoka kwa Boss Mo Dewji.
Siku zote Watu wa Simba SC ambao 99.99% si tu kwamba ni Wasomi bali pia tumebarikiwa Akili Kubwa ili tuweze kutoa Elimu kwa Mashabiki wenye bahati mbaya ya kuwa na Upeo mdogo pamoja na Uelewa mbovu kama wa Yanga SC.
Hivyo basi kwa Faida ya Watu wenye Uelewa mdogo wa Kufikiri kutoka Yanga SC...
Ushauri wangu wa bure tu Kwenu huu muda mwingi ambao mnautumia kutaka Kuwaaminisha Mashabiki zenu kuwa mnashinda Kesi dhidi ya Mchezaji Bernard Morrison na leo imegonga mwamba tena kwa Hukumu yake kutolewa mngeutumia katika Kusaka Wachezaji wazuri wa Kukiimarisha Kikosi chenu Kibovu.
Ndani ya...
RATIBA YA KESI KASI WEEK HII
26.07.21
CAS 2021/A/7689 Dilhara Lokuhettige v. International Cricket Council (ICC)
CAS 2021/A/7935 International Cricket Council (ICC) v. Dilhara Lokuhettige
29.07.21
CAS 2020/A/7397 Young Africans SC v. Bernard Morrison
05.08.21
CAS 2021/A/7799 Yeni Malatyaspor...
Huu ni upumbavu kabisa!
Aliekuwa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera aliadhibiwa kwa kuvaa pensi
Kitendo cha Morrison kubaki na chupi nilitaraji kusikia Waziri husika, BMT na TFF vikikemea tendo lile
Mpaka sasa hakuna aliyeamka kuongelea inasikitisha sana sana
Unawaza shida n isimba ama shida ni...