Watu wengi wakisikia neno bet, moja kwa moja wanahuisha na mpira wa miguu, ni kweli wapo sawa ila betting siyo kwenye mpira wa miguu tu hata kwenye michezo kama cricket, basketball, ngumi na michezo mengine, Embu tungalie kwa upande wa mpira wa miguu ambo unaongoza kwakua na mashibiki wengi...