Habari za wakati huu ndugu zangu wa jamiiforums.
Ninaomba mwenye mawasiliano ya msanii Diamond Platnumz au anayeweza kunikutanisha naye ili niweze kumshauri juu ya namna njema ya kuitangaza Wasafi Bet.
Smartphone yangu iliibwa mwezi May ila sasa ninatumia Whatsapp ya mjomba wangu number...
Mie nachukia sana hizi msg mara sijui kuna offer gani mara sijui bet ganj mara sijui shinda nini mara sijui simubima sijui mara sijui chagua mwito sijui unapigiwa simu imesimama kwa daladala mara sijui simu bima sijui nachukiaga sasa nikawaza hivi kina moo au GSM au ssb au boss unga azania au...
habari wakuu,
kampuni tajwa hapo juu ni kampuni ya kubett ijulikanayo kama piga bet ambayo inajihusisha na michezo ya kubahatisha,
jana jioni nikapata pesa yangu sehemu ,nikasema ngoja niizalishe basi nikaweka kwenye acc,nikabett live matches match zikaisha zimetoa kasoro moja tu.
nikasubiri...
Ndo ukweli, I kwamba ni yake kwa asilimia 100, sema hawasemagi ukweli, c angesema ameingia ubia na kampuni ya Kenya kwani Nini mbaya.
Hongera kwa platinum, Ila natafuta karanga zako na pafyum mtaani sizioni.
Imperial Kenya karibuni muwekeze Rais kashafungua njia, muue kabisa na makampuni...
1. Je, wale 'Washadadiaji' wa Mitandaoni tunajua kuwa aliyeshindwa huko BET siyo tu Msanii Diamond Platinumz pekee bali hata Watanzania wote tumeshindwa?
2. Je, wale 'washadadiaji' wa Mitandaoni tunajua kuwa Kitendo cha Diamond Platinumz Kuikosa hii Tuzo ya BET kuna Fursa kadha wa kadha...
Mhariri Mwananchi anaandika 'Diamond aangukia utosi huko Marekani'
Unafikiri ungekuwa muhariri leo ungekuja na kichwa gani cha habari kwenye gazeti lako?
Kulingana na hali ilivyokuwa tangu kutangazwa kwa nominies wa tuzo za bet mwaka huu ilijulikana kabisa kuwa mwana kwetu, mwakilishi wetu hana ubavu kabisa kati ya miamba aliyokutana nayo.
Ni kweli kakosa tuzo ila wadau wa mziki hapa nyumbani tumeumia sana ila safari bado ndefu na nafasi bado...
Somo la leo UKWELI MCHUNGU KUHUSU BURNABOY .... ila wabongo hatupendi kuangalia FACTS kwenye mambo mengi. Mwaka jana BURNABOY alitoa album ya TWICE AS TALL na ilifanya vizuri sana na miongoni mwa wasanii na mfanyabiashara P.DIDY aliipa support kubwa sana maana anaujua uwezo wa BURNABOY...
Kutoka jijini LA Marekani tunawaletea matangazo ya moja kwa moja kwenye utoaji wa tuzo za BET 2021, mAstaa kibao wametua jijini hapa tayari kwa hafla hii kubwa duniani,ambapo macho na maskio ya watanzania na waafrika kwa ujumla yapo kwenye kipengele kigumu kinachowakutanisha miamba ya Afrika...
Leo msanii kutoka Nigeria ambae anatamba duniani kwa sasa Burna Boy amewasili nchini Marekani na kupokelewa na mkongwe wa muziki nchini humo P. Diddy. Hii inaonesha wazi mshindi wa tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act ni Burna Boy. Na kwa sasa yupo nchini Marekani akisubiri...
Habari za wakati huu wakuu.
Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu.
Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki.
Mi naomba mnifafanulie...
Diamond Platnums
Mtandaoni kuna petisheni inayoratibiwa na mwanaharakati anayejitambulisha kwa jina la Liberatus Mwang'ombe, na kunadiwa kupitia akaunti za twita za Maria Sarungi, Hilda Newton, kigogo2014, Tundu Lissu, pamoja na gazeti la mtandaoni la Ansbert Ngurumo liitwalo Sauti Kubwa...
Nimekutana na hii petition mpya ambayo inataka ku reverse ile petition inayotaka Diamond kutolewa kwenye tuzo.
Kwenye petition hii nmeona pia wakenya wamo, hii picha hapa kuna mkenya utaona kasaini.
Wa tz tupi bize kushushana tu bila kuangalua uhalisia, Hivi kweli mlitaka Diamond akatae...
Wakati viumbe wa Twitter wakianzisha kampeni ya kutaka BET wamuengue Diamond kwenye tuzo za mwaka huu kwasababu za kisiasa na wivu binafsi.
BET wenyewe hawana hata muda huo
Jua linazidi kuchomoza Kwa mtanzania Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET dhidi ya nguli wa Mziki Burna Boy ...
Akiwa under high criticism kuhusu support kwenye nchi yake mwenyewe nguli huyu wa Bongo fleva asiyejua kukata tamaa wala kupumzika ameendelea kupambana to the bitter end... Na sasa...
Naona Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA), wametoa tamko la kumpongeza msanii Diamond kwa kuteuliwa kushirika katika hiyo tuzo na kusema iwapo atashinda, basi yatakuwa mafanikio ya nchi nzima.
Cha kushangaza katika tamko lao ni kuweka picha ya Diamond katika hilo tamko na sijui kama ni sahihi...
NIMETAPELIWA NA MERIDIAN BET - NIFANYAJE ? ? ?
Jumapili nimechagua mechi zangu kama tisa, nikazichambua weeee nikaamua kuweka (stake) 1900/=
Mara paaap baada ya kuliwa sana jana ikawa zamu yangu kuwala nikashinda 184,000/=
Nikaingia kwenye account yangu ya meridian bet nika withdraw pesa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.