Miaka ya hivi karibuni yamezuka makampuni mengi ya kubetisha (Kamari)
Katika uchunguzi wangu nimegundua makampuni haya yako vizuri sana kulinda pesa za wateja mara tu wanapo deposit katika app au website zao
Sasa nikajikuta napata wazo moja kwa wiki niweke makadilio ya chini kabisa mtu huyu...