Msimu wa 10 wa mbio ya Betika Mbeya Tulia Marathoni umezinduliwa jijini Dar es Salaam, huku waandaaji wakilenga kukusanya Sh300 milioni kwa ajili ya kusaidia kuboresha miudombinu ya afya na elimu.
Mbali ya afya na elimu, pia waandaaji ambao ni Taasisi ya Tulia Trust itasaidia jamii yenye...