betri za ct

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watu watatu wakamatwa kwa tuhuma za wizi wa betri za CT - Scan Hospitali ya Mkoa Simiyu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu, limefanikiwa kuwakamata watu watatu kuhusiana na tuhuma za wizi wa betri za mashine ya maalum ya mionzi (CT-SCAN) zilizoibiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu (Nyaumata). Aidha, mahojiano ya kina yanaendelea kuhusiana na wizi wa betri hizo za mashine...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mtanda ameagiza walio iba betri 40 za CT scan wakamatwe

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Said Mtanda, ameliagiza Jeshi la Polisi mkoani humo kuwasaka, kuwakamata na kuwafikisha mahakamani watu wanaodaiwa kuiba betri 40 za mashine ya CT Scan na swichi ya kubadili umeme katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu. Mtanda ametoa agizo hilo jana, tarehe 19...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…