biashara kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuanza biashara ndogo ndogo ukiwa na majukumu ni ngumu mno kutoboa

    "Mnaolalamika hakuna ajira muende mkajiajiri msisubiri kuajiariwa" Hizi si kauli ngeni mjini ila ni kauli ambazo husemwa na watu ambao aidha hawajawahi pitia msoto wa mtaani au wana watu wa kuwapush nyuma yao wakikwama. Ni kweli, kwa namna moja ama nyingine kujiajiri linaweza kuwa sulihisho la...
  2. JamiiForums Tanzania Uliishi maisha gani baada ya kupoteza Kazi au Biashara?

    Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na kutojua kesho yako, maisha ya kula leo saa saba mchana mpaka kesho saa saba mchana, hatari ogopa. Jamaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…