Naona hii biashara imetapakaa, Kuna jamaa angu anaifanya ila nikimuuliza hanielezei Kwa uwazi
Naona wanaoanzisha hizi micro finance hata wakiwa na mitaji midogo naona kama watoboa mapema
Nina mifano mingi Kwa watu ninaowajua, zimewalipa
Inawezekana Mimi nachelewa kwenye kilimo na biashara ya...