Naomba kujua utaratibu wa kuanzisha Micro finance

Naomba kujua utaratibu wa kuanzisha Micro finance

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Naona hii biashara imetapakaa, Kuna jamaa angu anaifanya ila nikimuuliza hanielezei Kwa uwazi

Naona wanaoanzisha hizi micro finance hata wakiwa na mitaji midogo naona kama watoboa mapema

Nina mifano mingi Kwa watu ninaowajua, zimewalipa

Inawezekana Mimi nachelewa kwenye kilimo na biashara ya mazao kumbe Kuna utajiri kwenye micro finance

Kuna mmiliki wa kampuni ya Oya majuzi hapa imesemekana ana utajiri wa kutisha
Ni kati ya matajiri wakubwa Africa

Nikijaribu kuwaza binafsi naona nikianzisha pesa zangu hazitakuwa salama

Nikupe pesa yangu ukanipe form na makaratasi ya serikali za mtaa naona pesa yangu haitakuwa salama

Yaani najiuliza labda nikikopeshe million 1 halafu nije kukunyanganya makapati na TV, nitauza wapi? Pesa yangu itarudi? Hadhi yangu mtaani itakuwaje?

Naomba tushirikishane taratibu za vibali vya serikali, Kodi TRA n.k

Faida inapatikanaje?

Kudai wateja wakorofi?

Kutambua wateja waaminifu?

Kukopesha walimu au?

Tushirikishane mawazo
 
ingia kwenye website ya BOT watakupa muongozo kamili, ila vichache ninavyovijua moja uwe na mtaji kuanzia M20, jina la kampuni ni lazima liwe na neno microfinance mfn ngara microfinance
Asante Kwa mchango wako
 
Hapo ka mtaji kaanzie walau 100M utaweza fanya vizuri pia nenda BOT wao ndio watakuwa wanatoa pesa wewe unarejesha tu ila mtaji wako wanausimamia kwa 60% ko shughuli ni wewe luirudisha hela yao
 
Hapo ka mtaji kaanzie walau 100M utaweza fanya vizuri pia nenda BOT wao ndio watakuwa wanatoa pesa wewe unarejesha tu ila mtaji wako wanausimamia kwa 60% ko shughuli ni wewe luirudisha hela yao
Million 100 si haba
 
Loyal customer na difficult customer hawakosekani..ni biashara nzuri kama biashara zingine
 
Zinalipa kweli kuna mdada yupo kweny ofisi 1 na ainafany poa san kwa sas natak nimchomoe apo na me niazishe ya kwangu ana uzoefu na wateja weng mno atanisaidia pakubwa
Kuna mdau alisema mtaji ni million 100
 
Sio kweli bhn ata ukiwa na m5 unaanza fresh t kuna baadhi ya maeneo ananambia wameanzisha ofisi kwa mtaji wa m2 tu
Sema hapo utafanya bila vibali vya serikali
Na Serikali wakikukuta ni hatari
 
Ndo maana nilileta Uzi Kwa wadau wanipe uzoefu na darasa
Nimeona apo kuna mtu amesema BOT wanasema wanatak bank statement ya 20M iki sio kikwazo kwangu kuazima sehem iyo hela na kuweka bank na kutoa bank statement ni mara 1 😃
 
Nimeona apo kuna mtu amesema BOT wanasema wanatak bank statement ya 20 iki sio kikwazo kwangu kuazima sehem iyo hela na kuweka bank na kutoa bank statement ni mara 1 😃
Lakini nadhani ivo vibali ni Kwa micro finance kubwa kama Branch, maboto, finca
Ila sisi ukipata mtaji wa million 10 unafosi wakija hao wa benk kuu inawapa chai kidogo
 
Lakini nadhani ivo vibali ni Kwa micro finance kubwa kama Branch, maboto, finca
Ila sisi ukipata mtaji wa million 10 unafosi wakija hao wa benk kuu inawapa chai kidogo
Me natak nianzee hii biashara namalizia kueka mambo yng sw tu
 
Back
Top Bottom