Nchi na wananchi wanashangaa. Watu hata hawana majina makubwa kwenye siasa za upinzani wanatekwa. Wasipouliwa au wakiokotwa hoi na kupona husikii kwa uhakika nini kimewapata.
Tukae tunatambua watu wa usalama pia wanahusika kuwalinda wafanya biashara wa mihadarati. Wenyewe wana siri kulindana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.