bibi

Bibi is a given name, nickname and surname.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    Bibi anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe, tumpe dawa ghani?

    Habari za usiku wanajf, Bibi yangu miaka 87 anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe. Pia vitu vimetokea zamani anasema vimetokea jana. Atumie dawa gani
  2. J

    Bibi anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe, tumpe dawa ghani?

    Habari za usiku wanaJF, bibi yangu miaka 87 anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe, pia vitu vimetokea zamani anasema vimetokea jana. Atumie dawa gani
  3. Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na sio kwa mama au bibi fulani

    Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na siô kwa mama au bibi fulani. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya dalili kuwa Mwanaume umefeli ni Nyumba yako kutambulika Hapo mtaani Kwa jina la Mkeo. Utasikia pale Kwa Mama Taikon, au Kwa Bibi Zeituni...
  4. Kwa mtazamo wako unadhani huyu mtoto alikuwa anawaza nini wakati akimtazama huyo bibi

  5. Tuwapongeze Bibi zetu ( Wazazi wa Wazazi wetu) Kwa malezi yao bora na ya kudekeza wakati Mwingine.

    Mtu yeyote ambaye amekua katika maeneo ya vijijini hata mjini kwa kiasi kidogo anaweza kuelezea uzuri wa malezi ya bibi. Bibi ni mtu mwenye huruma sana hata mzazi akitaka kukuadhibu ukikimbilia kwa bibi basi utakuwa salama kabisa. Lakini Bibi ni mtu ambaye hutanguliza mbele wajukuu zake washibe...
  6. Hii ndoa itadumu kweli?Baba wa bibi harusi amruhusu mkwe wake kurudi saa nane usiku mbele ya waalikwa

    Niliwahi kuleta uzi humu kuwa ukitaka kujua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nenda harusini.. Leo nimeona clip mtandaoni baba anamwambia binti yake kuwa ole wake siku alete kesi kwake kuwa mumewe amerudi saa nane za usiku... ,akaendelea kudai kuwa hiyo ni kawaida sana kwa wanaume, Kichaa...
  7. Familia yenye 5 generations wote wapo hai.. kila mtu na mama yake. Bibi wa bibi unamwona yupo hai

    Kwa jinsi tunavyochelewa kuzaa. Ni ngumu sana kuipata familia kama hii ya Mama chinedu. Kama hela ipo kuzaa mapema raha sana.. wote wamezaa wakiwa early 20s.
  8. Jela miaka 15 kwa kujaribu kumbaka bibi kizee miaka 80

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi, imemuhukumu kwenda jela miaka 15 John Swaki Fokasi, kwa kosa la kujaribu kumbaka bibi kizee wa miaka 80. Mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo Aprili 03, 2024 huko Tulieni mashambani majira ya saa sita usiku alipomvamia bibi kizee huyo kwenye nyumba...
  9. Kumbukumbu ya kifo cha Leila Sheikh Namkumbuka Bibi Titi Mohamed

    Mwaka mmoja umetimu toka Leila Sheikh arejee kwa Mola Wake. Tunamuombea dua Allah amsamehe makosa yake na amtie Firdaus. Amin. https://youtu.be/ja_cL5te4Lw?si=bPBJoBLV7xEMjdGP
  10. O

    Bibi wa miaka 63 kuzaa na Mjukuu wake wa miaka 26

    Huu ni ushahidi mwingine kuwa umri ni namba tu kwenye mapenzi na kuzaa ni mipango na baraka za Mungu. Bibi mwenye umri wa miaka 63, Cheryl na Mume wake Quran McCain mwenye umri wa miaka 26 wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza baada ya kuonyesha majibu ya vipimo vya ujauzito kupitia video hii...
  11. Wanajadili Historia ya Bibi Titi Mohamed lakini hakuna hata mmoja anaeijua historia yake

    Nimefikishiwa taarifa kuwa kuna Group la vijana leo kutwa nzima wanajadili historia ya Bibi Titi. Mpashaji habari wangu kaniuliza maswali mengi kuhusu historia ya Bibi Titi na kama nilimfahamu wakati wa uhai wake. Ukweli ni kuwa hakuna aliyemwandika Bibi Titi kama anavyostahili kuandikwa...
  12. L

    Paul Makonda kumjengea nyumba bibi anayenyanyaswa na Familia yake kisa hana Mtoto

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Paul Christian Makonda Anaendelea kufanya kazi ya kitume, kazi ya kugusa maisha ya watu, kazi ya kuwafuta wabubujikwao machozi,kazi ya kurejesha matumaini na tabasamu kwa waliokata tamaa na kupoteza matumaini,kazi ya kuleta nuru katika mioyo ya watu wenye giza...
  13. Baba vanga, bibi wa Hungary, anayeaminiwa mno duniani kwa najimu zake za kweli!

    Bibi huyu kipofu, ambaye ameshatutoka ulimwenguni toka 1996, ni bibi aliyefanikiwa kutabiri mambo mengi ambayo wanasayansi wakubwa ulimwenguni wamekuwa wakifuatilia najimu zake na vyote alivyokuwa akibashishiri vilitokea kwa 100%,ndiye aliyesema dunia yetu hii iyakwisha rasmi 5079. -Nimejikuta...
  14. Bibi Titi Mohamed Shujaa Mwongoza Njia

    SIKU YA MWANAMKE DUNIANI Gazeti la Mwananchi la leo limechapa makala ambayo walinitembelea Maktaba nami nikawazungusha katika mitaa ambayo wanawawake wa Tanganyika walikuwa hawapunguia katika harakati zao za kupigania uhuru. Naanza na kipande hicho hapo chini kinachomjulisha Bibi Titi miaka ya...
  15. Rafiki mjane Bibi John aliyekosa msaada, nasikitika sikumzika

    Salam ziwafikie JF members. Ni mwanamke aliyebarikiwa kupata watoto 5, wakike 2 na wakiume 3. Tuliishi katika Kijiji kimoja huko katika ardhi ya Mtemi Milambo mkoa unaosifika kwa zao la tumbaku. Rafiki yangu alikua ni mtu wa karibu sana na mama yangu mzazi. Aliachwa na mumewe Toka miaka ya 90...
  16. Dar: Kutana na Kijana wa miaka 24 anayetoka kimapenzi na Bibi wa miaka 80 Tanzania

    Catherine, mama wa watoto 5 alipoteza mume wake miaka michache iliyopita na alihitaji kupendwa. Akiwa anaendelea na shughuli zake za kila siku, alikutana na George ambaye ni mtoro wa shule na mwendesha boda boda na kila kitu kikabadilika.
  17. Jela miaka 30 kwa kumbaka Bibi wa miaka 66

    Mahakama ya Wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma, imemuhukumu Baraka Michael (25) mkazi wa Rutale wilayani Kigoma kwenda jela miaka 30 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 66. Akitoa hukumu hiyo Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Kigoma, Eva Mushi, amesema kuwa Mahakama...
  18. Kabla ya kuoa fanya mapping ya familia yako na unayoenda kuoa

    Leo niwasaidie hili pengine we n mhanga wa hili eneo kwenye ukoo wenu nawiwa kuongelea hili maana mmoja wa waathirika wa hili. Kabla ya kuoa fanya mapping ya familia yako na unayoenda kuoa ndugu. Ndoa nyingi zimeathirika na laana ya ukooo na sio kulogwa wala mengineyo Kaa na wazazi wenu...
  19. Pre GE2025 CCM tunaomba 2025 msituletee marais wa kujiokoteza okoteza, Samia asipite hata kwenye top 10 yenu ya mapendekezo

    Kwakweli Kwa haya tulioyapitia miaka mitatu inatosha sasa Hatuwalaumu CCM Kwa huyu raisi tulienae kwa sasa lakini mtatukosea sana kama tutasikia huyu Rais ndio mtaempitisha kama mgombea. Tumechoshwa na mambo yanayoendelea achilia mbali mfumuko wa bei holela, wizi wa mali za umma unaoota mizizi...
  20. Uganda: Magaidi wa ADF wamuua bibi na wajukuu zake

    Magaidi ya ADF ambayo ni mlengo wa magaidi ya Islamic State (dola la kiislamu) wamechinja bibi na wajukuu zake na kuchoma maiti zao kijijini Uganda. Hivi mbona dini isiwe chanzo cha amani. Unayafanya yote haya kisha siku za kufa kwako ushangae 'mungu' ambaye unampigania kumbe siye, yaani miaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…