Tuliuza Loliondo kwa mwarabu. Tumeuza gesi ya Mtwara kwa wazungu, mabomba yanaelekea Ulaya, by d’r. Slaa. Tumewafukuza wamasai wa Loliondo tukampa mwarabu.
Tumeuza wanyama wetu Dubai sasa huko kuna artificial forest inaitwa Sharjah Safari Park ina kila mnyama mkubwa unayemuona mbugani...
MWANAMKE UVUMILIVU BIBI!
TUKOMESHE TABIA ZA KUVUMILIA NA KUHALALISHA VITENDO VYA UKATILI.
Nenda “Kicheni pati” utasikia sifa kuu ya mwanamke ni uvumilivu, “sendi ofu” mwanamke kuvumilia, kwa mama mchungaji nako binti uvumilivu!, bibi nae mvumilivu hula mbivu, mama ndo kabisa atakwambia mimi...
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 123, Theresia Nyirakajumba, kutoka Nchini Rwanda, amesema toka azaliwe hajawahi kuguswa na mwanaume yeyote, na sasa yupo na tumaini kuwa atampata mwanaume sahihi na ambaye atakuwa tayari kuwa naye maishani.
Ni kweli kuwa kwa sasa wanawake wenye bikra...
Habari wiki iliyopita nilikuwa kwenye harusi moja hivi nilialikwa. Sasa nda wa ukumbini na maharusi kuingia. Sasa katika utambulisho binti aliwatambulisha wazazi wake wa kumzaa na BABA mlezi.
Iki hivi binti anawazazi wake kwenye kabisa wa kumzaa ila hawakuweza kuishi pamoja Baba alioa kwingine...
Bibi Ghati Amon Mwita (63), Johnson Denis (10), na Vailet Denis (03) wakazi wa Mji wa Tarime wamepoteza maisha baada ya nyumba waliokuwa wanaishi kando ya Mto Wainani kusombwa na maji usiku wa kuamkia leo. Katika tukio hilo, watu wawili walinusurika kwa kujishikilia kwenye miti.
Kuaharisha na kuugua matumbo limeshakuwa ni janga. Kulingana na mazingira ya kazi na umbali, inakuwa ni vigumu kurudi nyumbani ukale kisha uendelee na kazi.
Baadhi ya migahawa imekuwa ni janga kwetu wateja, mbinu hizi chafu hutumika kwa lengo la kukuza faida bila kujali afya zetu na huku ndipo...
Wazungu wa Urusi, ujamaa umewalemaza na kuwafanya kama mazombi, yaani sheria zimebuniwa ukiskika unasema chochote kizuri kuhusu Ukraine unaliwa moja kwa moja, bibi ameshtakiwa kwa kusema Zelensky ni handsome, hilo alilisema huko mtaani kwa mhudumu wa mghahawa....
Kwa sasa watu wanaishi kwa...
Nasema hivi: - Siasa za Tanzania leo, hakuna Kiongozi wala Mwanasiasa hata mmoja anayeweza diriki kumkosoa rais Samia na serikali yake hadharani na bila kumung'unya maneno kwa sababu moja tu - Kila mmoja wao leo anakula kwa urefu wa kamba yake.
Ndiyo, nimesema na anayebisha anitajie japo mmoja...
WANAWAKE MSIKUBALI KUGEUZWA SHAMBA LA BIBI!
Anaandika, Robert Heriel
Tuwaelimishe binti, Dada na Mama zetu ingawaje tunajua hakuna kazi ngumu kama kumuelimisha Mwanamke hasa katika kumwambia ukweli, kwani siku zote ukweli unauma. Wanawake wengi hawapendi ukweli Kwa sababu hawapendi kuumia...
Mwenyekiti wa UWT Taifa amesema hayo alipokjwa anatoa salaam za UWT kumkaribisha rais wa JMT mama Samia kuzungumza na wanawake na Taifa leo katika uwanja wa Uhuru
CDE Mary Chitanda amesema kwa kunukuu ukurasa wa 52 wa kitabu cha Bibi Titi Mohammed ambaye aliandika kuhusu nafasi na ushiriki wa...
..Mbowe na ujumbe wake wamefika mkoani Tanga kufanya shughuli za uenezi wa chama.
..Pamoja na mambo mengine Mbowe amezungumzia hali ngumu ya uchumi mkoani Tanga na nchi nzima na jinsi inavyochangiwa na utawala mbaya wa Ccm.
Mwisho amewataka wananchi wa Tanga kukataa mkoa wao kuwa kama "shamba...
Mkazi wa Kitongoji cha Kalilangwa Kijiji cha Mchangani Kata ya Ikola, Tarafa ya Karema Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi Winfrida Athanas (63) amenyofolewa masikio yote na mtoto wake wa kumzaa mwenyewe baada ya kumvizia wakati akiwa amelala usingizi chumbani mwake.
Tukio hilo la kusikitisha...
Zitambue tofauti hizi mpakani mwa Tanzania na Rwanda katika boda ya Rusumo:
1. Miundo mbinu upande wa Rwanda ni bora zaidi. Barabara, taa za barabarani, security cameras, majengo, fencing, furnitures nk upande wa Rwanda ni kama Ulaya.
2. Upande wa Rwanda taratibu zote katika kila idara yaani...
Paukwa tena pakawa, mtaani taharuki
Bibi kanyoa kipara, na nywele tena hasuki
Chaajabu kina chawa, kichwani hawabanduki
Bibi kanyoa kipara, mtaani taharuki
Mtaani wauliza, hiki kipara chanini
Mana wengi chawaliza, madukani na saluni
Ma tena chaleta giza, biashara taabani
Bibi kanyoa kipara...
Usiende google kucheki matokeo 😂😂 wala cnn , huko hakuna taarifa credible maana ni left wing main strem media, ni haohao walioaminisha umma mpaka dakika ya mwisho 2016 kwamba Trump kashindwa,,, Ukweli ni kwamba kwa sasa hali inavyoelekea Republicans wanaenda kuchukua moja ya mihimili ama miwili...
Likizo niliambiwa this time unaenda kumsalimia bibiyo. Nikaona si Issue....nikabadili mazingira huko Morogoro.
Basi nikaenda kule kijijini nlikuwa gumzo miaka hiyo nimepiga pamba kali nimeweka na plata shavuni kama Nelly.
Basi walikuwepo watoto wakali sana ila mimi domo zege halafu sina...
Michelle De Pacina
Mvulana mwenye umri wa miaka 10 amekamatwa nchini China kwa kumweka nyanyake kwenye kitanzi cha kichwa na kumnyonga hadi kufa.
Katika video inayosambaa mitandaoni, bibi huyo anaonekana akimpiga mvulana huyo mara mbili kichwani kabla ya kumpiga ngumi ya kifua na kumshika...
Wabongo bana.
Mtu akienda Uingereza naenda kwa bibi. Mtu akiishi uingereza Niko hapa Kwa bibi. Akisoma Uingereza kama Mudawote nilisomea kwa bibi.
Sasa hivi siyo kwa bibi tena ni kwa babu. Na msemo huo utakaa muda mrefu Tena miaka mingi tu kwasababu haya mijamaa hayafi kizembe hadi yavuke mid...
Bibi yangu mzaa mama ana kaka yake mdogo ambaye ana binti mzuri sana na nahisi tunapendana, kwa ufupi ni binamu yake mama.
Je, kiafrika naruhusiwa kumpelekea moto au ni mama yangu mdogo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.