Serikali ya Marekani kupitia msemaji wa Ikulu, imesema kuwa haiogopi, wala haitafuata maelekezo ya China.
Pia China haipaswi kujawa gadhabu kwa ziara ya Spika wa Bunge, kwani Marekani kjna mgawanyo wa Madaraka na Serikali haiwezi ingilia maamuzi ya Spika
Spika wa Marekani atasafiri kwa ndege...