bidhaa za viwandani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kemikali zinazowekwa katika bidhaa za viwandani hutolewa wapi?

    Kwenye vyakula, vinywaji, vitafunwa nk, huwekwa kemikali kwa sababu fulani, moja wapo ni visiharibeke kwa haraka. Sasa swali langu ni kwamba hizi kemikali au malighafi yanayotumika kutengeneza hizi kemikali kutolewa wapi? Kwenye miti, ardhini, majini ama ni wapi? Mkawe na asubuhi njema.
  2. JamiiForums Tanzania Marekani hana capacity ya kushindana na china hasa linapokuja swala la vita vya kiuchumi

    Marekani wawekeze kwenye viwanda vya awali (primary industries) ndo wafikirie kushindana na china
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni kwa kiwango gani afya zetu zinahatarishwa na bidhaa za viwandani?

    Katika sekta ya afya kuna mtaalamu Professor Janabi, ambae mara nyingi anaponda ulaji wa misosi ya kawaida lakini hadikiki akikemea dhidi ya bidhaa hafifu ama bidhaa haribifu kwa afya ama kutoa angalizo maridhawa. Je, maji, juice, energy drink na uholela wa uzalishaji je sio hatarishi? Kwenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…