bien-aime baraza

Bien-Aimé Alusa Baraza, popularly known as Bien, is a Kenyan singer, songwriter, guitarist, music executive and entrepreneur. He is a member of Sauti Sol, a Kenyan Afropop music band.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bien aongelea hali ya kisiasa ya Kenya bila uoga, ataja kuhusu upinzani kuminywa, utekaji na nafasi ya vijana, wasanii Tanzania wamekalia Uchawa!

    Msanii wa Kenya Bien alipata nafasi ya kufanya mahojiano katika kipindi cha Breakfast Club Power New York, Marekani, ambapo aliongea mambo mbalimbali ikiwepo hali ya siasa nchini Kenya. Amesema pia kumekuwa na matukio mengi ya utekaji, akisema kumekuwa na uhuru wa kujieleza lakini si uhuru...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania Washangazwa na Ujasiri wa Msanii Bien akiimba "Ruto Must Go" huku Wakenya wakiitikia

    Msanii kutokea Bien akifahamika kama Bien-Aimé Baraza kutokea kundi la Saut Sol pale nchini Kenya amefanya show katika moja ya Tamasha kubwa nchini Kenya na kuacha watu kinywa wazi huku Wakenya wengi wakifurahia kibao alichutumbuiza kwa kukipiga mubashara akiimba "Ruto Must Go" huku Wakenya...
  3. JamiiForums Tanzania Bien Sauti Sol: Wasanii wa Tanzania wangewekeza kwenye Singeli kama Amapiano, kushinda Tuzo ya Grammy ingekuwa rahisi sana

    Mwimbaji hodari kutoka nchini Kenya Bien-Aime Baraza amesema, Wasanii wa Tanzania wangeweka nguvu na bidii kwenye muziki wa Singeli kama ambavyo waliweka bidii kwenye Amapiano, basi muziki wa Tanzania ungekuwa umeenda mbali sana. Bien alienda mbali zaidi na kusema, hata kushinda Tuzo ya Grammy...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…