Ndugu yetu katimiza miaka 60 siku ya leo. Tunampongeza. Lakini suala la Wafanyakazi kumiliki hisa za CMG bado imekuwa kitendawili. Suala hili la Hisa Wafanyakazi wa CMG wanalitaka Sana lakini bahati mbaya Sana hata Marehemu muanzilishi hakubahatika hata kuwa na hisa 1 na akafa akiwa hana hisa...