D
DeletedMember281674
Guest
Ndugu yetu katimiza miaka 60 siku ya leo. Tunampongeza. Lakini suala la Wafanyakazi kumiliki hisa za CMG bado imekuwa kitendawili. Suala hili la Hisa Wafanyakazi wa CMG wanalitaka Sana lakini bahati mbaya Sana hata Marehemu muanzilishi hakubahatika hata kuwa na hisa 1 na akafa akiwa hana hisa yeyote ndani ya CMG.
Leo pia limejitokeza alipoulizwa kama kawaida yake machoni mwa watu ni kama Mwanakondoo ameshinda Tumfuate, akaendeleza majibu yale yale bado analiangalia huku akimtambulisha rasmi mwanawe na kumkaribisha rasmi kwenye majukumu ya kampuni ili baadae aje arithi mikoba yake.
My take: Wafanyakazi wa Mkataba wanawezaje kupewa hisa za umiliki wa kampuni ambayo hawajui jinsi ilivyoanzishwa????
Big Jo au Chief Jo afahamu Kwamba siku akiruhusu hili basi akubali siku wanahisa kwenye AGM wakimpigia kura kumtoa kwenye huo umiliki aliouanzisha kwa jasho na DAMU.
Mtoto ni Binti ipo siku ataolewa pia atambue huyo atakayemuoa siku akitaka divorce basi atambue Mkamwana wake kumtajirisha.
Mbio zote za Maisha unaenda kumrithisha mtoto wa kike ambaye mwisho wa siku anaolewa na mvuta bhangi anaamka anakuwa Bilionea kwa urithi wa Baba Mkwe - Hatari Sana