Miaka 60 ya Big Jo: Suala la Hisa kwa Wafanyakazi wake bado kitendawili

Miaka 60 ya Big Jo: Suala la Hisa kwa Wafanyakazi wake bado kitendawili

Ni kichaa tu atakae taka kununua Hisa za CMG sasa hivi wakati inajulikana ni wakati wa Media house down Fall.

Kingine, huwezi lipwa Mshahara Halafu ugawiwe na HISA haiwezekani, labda ununue kama watanzania wengine wanavo nunua kwenye soko la HISA.

japo kuhusu Lughe, Ntashangaa sana kama hakua na HISA.

Alikufa kibudu bila hata ya kuwa na hisa ya kusingiziwa
 
Halafu kwa nafasi aliyo pewa pale, ruge kala mnoo hizi deal kubwa kubwa.

platform aliyo kuwa nayo ilimpa access ya watu na vitu vingi
Marehemu alikuwa mjanja Sana aliweza kununua nyumba Masaki tatizo lake alikuwa honga honga sana na wanawake kuwajengea mijengo
 
Biashara ya Radio imekufa Bongo...walipo sokoni wanatumia nguvu kubwa sana kubaki...media nyingi zimeshajifia
 
Back
Top Bottom