bikra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analyse

    Vijana wasasa, bikra tunazichukulia tofauti sana kulinganisha na enzi za wazee wetu

    Inapotokea kwenye mahusiano kuna sintofahamu ya aina yoyote, hapo ndio strength ya bond huwa inapimwa. Mengi hutokea, usaliti, dharau, uongo n.k ambavyo vinaweza pelekea uhusiano kuvunjika. Na panapotokea mgogoro mzito sana, yule aliyekosewa huwa na option mbili, asamehe au achukue hamsini...
  2. NetMaster

    Kituko: Binti asie na bikra ya kumpa thamani kiroho na kimwili anatoa wapi ujasiri wa kumkatalia mwanaume asijaribu mitambo mpaka waoane?

    Unakutana na binti hata kina single mama hana bikra kashatembea na na wanaume kadhaa ila ajabu ni kwamba anaanza kujiona kwamba yupo sawa na wenye bikra, anamwambia mwanaume hawezi kutoa mzigo mpaka amuoe !!
  3. 44mg44

    Neno moja kwa aliyekutoa bikra

    Wanawake nawakaribisha mtoe neno moja kwa dume lililokutoa bikra, inawezekana bado uko naye au yuko mbali mshaachana naye. Kupitia uzi huu nimeona siyo busara kuwasahau hawa watu muhimu katika maisha yenu. Wakumbukeni kwa maneno mawili matatu au hata neno moja tu. Karibuni
  4. BARD AI

    Bikira wa miaka 70 anatafuta mchumba, adai yuko tayari kuolewa

    Mwanamke huyo raia wa Congo, alieleza kuwa alijitolea maisha yake yote kuwalea ndugu zake na sasa yuko tayari kuolewa iwapo atapata mwanaume. Akizungumza katika mahojiano na AfriMax, alisema: "Kilichofanya asiolewe ni kwa sababu sijapata mwanaume anayenifaa. Lakini nilipokuwa bado msichana...
  5. Nyenyere

    Wakati sahihi kuondoa bikra ya binti

    Wakuu amani kwenu. Leo nimekuwa natafakari jinsi mambo ya mahusiano ya mapenzi yalivyo kwenye dunia yetu ya leo. Kuna swali najiuliza nabaki kutabasamu tu, hivi kweli leo hii sheria hizi zingetumika, nani angebaki salama? Kumbukumbu la Torati 22 (Biblia Takatifu) ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯ ¹³ Mtu akitwaa mke...
  6. singanojr

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    NILIEMDHANIA NI KAHABA KUMBE BIKRA MTUNZI:SINGANOJR . AGE:18+ NB:SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA PDF KUTOKA SEHEMU YA KWANZA MPAKA YA 390 IPIO NITAFUTE WATSAPP 0687151346 PROLOGUE../DIBAJI Ilikuwa ni muda wa usiku saa tisa kamili ndani ya chumba kikubwa anacholala mheshimiwa Rais Senga ...
  7. Wamuyaya

    Kungekuwa na sheria ya "kila mwanamke aolewe na mwanaume aliyemkata utepe"

    Wapendwa naleta uzi huu mbele yenu kwa sababu mimi ni miongoni mwa wanaume wachache kama siyo wengi, waliyowahi kupata fursa ya kukata utepe! Binafsi nimewahi pata bahati ya kukata utepe/kubikiri wasichana 7 mwaishani mwangu. Kwa sasa nikiwa na umri wa 40+ nilishastaafu kufanya hayo mambo na...
  8. Chachu Ombara

    Handsome namba 1 Kenya, Stivo Simple Boy asema yeye ni Bikra na anataka kupata watoto zaidi ya 30 baada ya kuoa

    As far as we know, Stivo Simple Boy claims he’s still a virgin and would only indulge in intimacy after marrying. At least this is what he states. As a matter of fact, Stivo claims his separation with ex-girlfriend Pritty Vishy was expedited by her demands for intimacy. Despite Stivo being a...
  9. Hellenah

    Ushauri kwa bikra wa miaka 26

    Ni ndugu yangu anaona muda unayoyoma ila hana confidence ya kupata bwana, hana kazi, mzuri ila ana chunusi( anadai hii ni sababu kuu), hatoki nyumbani at all... Nimejaribu kutoa tips kadhaa hazifati, naomba kusikia kwenu labda kuna mwenye experience au advice kwa hii issue.
  10. Sky Eclat

    Enzi za Dola ya Roma walichaguliwa wenye bikra kutumikia madhabahu. Hawa walipewa heshima kubwa katika jamii

    Utaratibu kama huu unaweza kurudisha heshima ya bikra katika jamii na wana wari kujitunza mpaka ndoa.
  11. 6WaS9

    Sifa muhimu za binti wa kuoa kuanzia 2021 na kuendelea

    Sifa muhimu za kuoa kuanzia 2021 na kuendelea, awe bikra, atoke familia isiyo masikini na awe chini ya 26yrs! Mwanamke ambaye ana experience zaidi ya miaka kumi kwenye mahusiano na wanaume tofuti tofauti huyo hafai kuwa kwenye ndoa.! Unatakiwa uoe mwanamke mgeni wa mapenzi, bikra! Kuwa...
  12. Wakusoma 12

    TANZIA Padri Baptist Mapunda afariki dunia kwa ajali ya gari

    Wapendwa katika imani tumsifu Yesu kristo. Father Baptist Mapunda wa Kanisa Katoliki Parokia ya bikra Maria Usagara Jimbo Kuu la Mwanza amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea huko Usagara nje kidogo ya jiji la Mwanza. Fr Mapunda alifikwa na umauti huo tarehe 3 ya mwezi huu na mazishi...
  13. Jokajeusi

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako Habarini Wakuu, Naweza kuwa tofauti na wengi, naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa, lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. Ni suala litakalo iweka...
  14. VentureCapitalist

    Ukitaka kuoa tafuta bikra

    Ni ushauri kwa vijana wenzangu wanaofikiria kuoa.Kumbuka mwanamke huwa sio rahisi kumsahau mtu aliyewahi kushiriki naye tendo la ndoa. Hivyo akikutana na mtu aliyewahi kushiriki naye tendo. Ni rahisi Sana kuchepuka bila ya kujali yupo kwenye ndoa. Ili kuondokana na hii adha ni kutafuta...
  15. Y

    Haya ndo makundi yanayoongoza "kuchakata" bikra

    Wakuu natumai hamjambo, Wanaume wengi hua na ndoto yakuchakata bikra but wengi hawafanikiwi coz hawapo katika makundi ambayo ndo yanaongoza kwa utoaji bikra. Haya ndo makundi yanayoongoza kuchakata bikra hivyo kama haupo kwenye list ni nadra sana kuchakata bikra mpaka itokee bahati ya mtende...
  16. Jaji Mfawidhi

    Unamkumbuka aliyekutoa Bikra: Ukikutana naye utampa zawadi? Mumeo ulimuadithia?

    Kwa wadada wenzangu na wake za watu, je unamkumbuka mwanaume aliyekutoa usichana wako, yaani Bikra? Je, alipo kutoa ulimwambia asante kwa furaha? Unakumbuka ilikuwa ni wapi? Je, siku ya kwanza kufanya na mumeo wa sasa, alikuuliza kuhusu nani kakutoa bikra? Je, ukimkumbuka na siku mkikutana...
  17. B

    Nitumie mbinu gani kumtoa bikra?

    Samahani kwa kuwachosha wanajamvi, naomba ushauri wa mawazo ambao unaweza kunisaidia mimi na mwenza wangu. Nilikutana na binti ambaye bado ni bikira na nimefanya maamuzi awe wangu wa maisha. Shida iliyopo ni muoga sana kutolewa ile kitu kwa muda wa miezi mitano sasa nimekuwa nikipress juu juu...
  18. FRANCIS DA DON

    Ifahamu PROM NIGHT, tamasha kubwa la kutoana bikra linaloandaliwa mashuleni kila mwaka huko Marekani

    Tamasha hili huandaliwa maalum kabisa kwa ajili ya wanafunzi wa 'high school seniors / juniors' ambao wanamaliza shule na hivyo hukusanyika kama njia moja wapo ya kuagana na kupongezana. Katika hatua za awali za Tamasha hili huanza kwa kupiga picha za pamoja baina ya marafiki na wapenzi...
  19. Analogia Malenga

    Uingereza: Wanawake waislamu wawafaidisha madaktari kwenye kutengeneza bikra

    Wanawake wa kiislamu wengi wanakuwa katika hatari ya kuuwawa inapotokea wakathibitika kuwa wameolewa bila kuwa na bikra. Baadhi yao wamejiwekea utaratibu wa kuwafuata madaktari ili kuwarudishia bikra zao, tabaka la ngozi kwenye uke. Kuna hatari ya kuwa kama utengenezaji wa bikra utazuiwa basi...
  20. Analogia Malenga

    Binti wa miaka 19 auza bikra yake kwa bilioni 3

    Binti wa Ukrain anayeishi Marekani mwenye miaka 19 ameuza bikira yake kwa TSh Bilioni 3 baada ya kutangaza kuiuza katika tovuti ya kujiuza Binti huyo aliyetambulika kama Ekaterina alitoa Bikira yake kwa mzabuni aliyepanda dau kubwa zaidi ambaye ni mfanya biashara Ubikira wake ulithibitishwa na...
Back
Top Bottom