Sikumbuki mwaka ila nakumbuka nilikuwa mdogo ,tulitoka na mzee wangu mitaa ya kariakoo tukaelekea mitaa ya Magomeni Mapipa mtaa sikumbuki ila ni karibu na Shibam.
Kufika pale kulikuwa na vijana watoto wamjini hakuna aliyezidi miaka 50,walikuwawakicheza draft,bao,zumna na kunywa kahawa
Vijana...
Ndugu ukinunua Simu hasa simu za smart phone kumekuwa na wimbi kubwa LA watu kuuziwa au kununua Simu huku akiwa hawajui kuwa ni za kulipia baada ya wiki au siku kadhaa Simu inalokiwa huku wakishindwa wafanyeje.
nyaje?
Ni muhimu kujua makosa ili usiyarudie/usiyafanye.
Ukishaondoa makosa, kinachobaki ni vitu vizuri. Pia kuna makosa yatakayomfanya mwanamke wako kupoteza mvuto kwako. Ataanza kujitenga nawe. Nawe utaanza kulazimisha penzi mwisho wa siku anakublock, anakunyima penzi au anakuchunia kabisa.
Hivyo...
Nawaasa sana watu mnaonunua hizi dawa za mvuto wa mapenzi, kusafisha nyota, n.k. muwe makini sana, hizo dawa nyingine mnazonunua huwa mnajitoa sadaka kwa wanaoziuza, wanawaibia vitu vyenu ama kuwaharibia maksudi baraka mlizopewa pengine ili wanufaike na matatizo yenu, Ridhika na ulichopewa, Tia...
Hello family!!
Hebu fikiria kidogo kisa Cha kawaida mfano Mr X anamsema vibaya Mr Z kwa Mr Y kuwa Z si chochote ni fala hana pesa anaishi Sinza pa kishamba sana gari yake GX 100 japo iko fresh ila ya longtime kitambo yule bwege tu.
Cha ajabu Mr Y anaeambiwa hayo maneno anakaa Nyumba ya...
Hii kalenda tunayotumia, Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? Au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Kumekuwa na mtindo kwenye Jamii kugeuza maneno yenye mlengo wa ki matusi kuwa kama sentensi au misemo rasmi na halali kuitumia kwenye maongezi ya kawaida.
Na kwa isivyo bahati kwa utitiri huu wa vyombo vya habari imekuwa ni rahisi sana kueneza misemo au mneno yenye ukakasi au matusi hata kama...
Ni sawa na mzazi kwenye shule ambayo mwanae anasoma na mtoto wa jirani yake. Huyu Mzazi hapendi kuona mtoto wa mwenzake anafaulu, kwahiyo anamhonga mwalimu mtoto wake apewe mtihani rahisi au kupewa majibu halafu mtoto wa Jirani yake apewe mtihani mgumu! Ni kweli mtoto anafaulu mitihani ya ndani...
Habari wana JF
Niliingia katika mtandao wa Badoo kwa kutumia jina na picha fake. Nika search girls between the age of 20 to 35 nearby. Akatokea dada mmoja mzuri kumbe ni mhasibu wa hapa hapa ofisini naye katumia Jina na picha fake. Tukachati tukatongozana akaingia line.
Siku nikiwa ofisin saa...
Kassim Hanga alikuwa shujaa mwanamapinduzi na alikuwa mmoja wa waasisi wa Smz.
Ikumbukwe kuwa bila ya SMZ kuungana na Tanganyika leo kusingukuwa na JMT.
Kwa nini alipozikwa Kassim Hanga hapajulikani mpaka leo hii ili iwe kumbukumbu kwa taifa letu?
Kusaidiana ni njia mojawapo ya Kudumisha Upendo Baina yetu sisi na watu wengine ikiwemo ndugu zetu, jamaa na Marafiki.
Kukua na kuongezea kwa matumizi ya Huduma za Kifedha kwa njia ya simu imesaidia na kurahisisha kwa kiwango Kikubwa sana ndugu, jamaa na marafiki kutumiana fedha pindi...
Unapata kipato chako mfano laki tano kwa mwezi, mtu anakuambia pesa yako hii bila kujua unawalipa watu wengine wewe hujilipi, swali la kujiuliza kwani hii laki tano si ya kwangu najilipaje sasa wakati laki tano hii ni yangu?
Ni kweli yako lakini sasa katika laki tano mfano utagawa mahesabu kama...
Hivi kweli mtu anaweza kuwa ana ishi bila kujua kama ana matatizo ya akili?
Mimi mwenzenu na shangaa saana watu wengi wananiambia kuwa awanihelewi kabisa yaani kuanzia maneno yangu mpaka vitendo vyangu na wengine Wana sema nimepungukiwa akili kabisa
Hata mimi mwenyewe kuna mda uwaga si helewi...
Niliwahi kuwa nawashwa sana masikio kwa ndani, nilijaribu sana kwenda hospitali nikatumia dawa zikawa zinatuliza ila sikujua kuwa kuna kitu ninachokula karibia kila siku ndio kinacho tengeneza sumu kwenye damu kiasi kwamba nikila Karanga, Tangawizi, Parachichi… nasikia masikio yana washa sana...
Leo naomba ku share nanyi matukio nilowahi kupitia yakubebeshwa vitu vya hatari pasi na kuelewa.
1: Mwaka 2002 Nikiwa darasa la 2 Mama yangu mzazi alifariki dunia. Nikaombewa ruhusa na kwenda kumzika (nilkuwa nikiishi na baba Mwanza). Baada ya Mazishi nilipata homa kali ambayo hospital za pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.