Kwa uharibifu mkubwa uliofanywa na mashabiki wa Simba kung’oa viti vya Uwanja wa Benjamini Mkapa kipindi ambacho marekebisho mbalimbali yanaendelea kufanywa na serikali katika Uwanja huo, adhabu pekee wanayostahili Klabu ya Simba ni kufungiwa kucheza bila mashabiki kwa kipindi cha mwaka mmoja...