bilioni 600

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi MPAKA mtu unakua na mtaji wa kuwekeza Bilioni 600, mabroo mnaokota wapi mbesa... ?

    Nmejiuliza sana hili swali muda huu nikiwa napata chai na vitumbua +maharage mahali Eti mtu anawekeza mahali bilioni 600, mtu anajenga jumba la bilioni 10, mtu ana drive gari la bilioni 20...tupeni basi connection dah ...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Pigo kubwa kwa Brics: Saudi Arabia yaistukia Brics, yapanga kuwekeza dola bilioni 600 ndani ya miaka minne nchini Marekani.

    Saudi Arabia ilialikwa kujiunga na BRICS mnamo 2023 lakini Ufalme bado haujatoa uamuzi wa kukubali mwaliko huo. Imezuia uamuzi wa kujiunga na muungano huo kwa kuwa unafanya mikataba ya kibiashara na Marekani. Ufalme wa Saudi Arabia unasita kujiunga na BRICS kwani unahitaji uungwaji mkono wa...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Tukishusha 2% ya VAT tutapoteza Bilioni 600, Bajeti ya Serikali itaathirika

    "Moja ya hoja iliyokuwa inatolewa ni kushushwa kwa VAT kutoka 18% kwenda 12%, na mimi ningetamani iwe hata 10% lakini hatujaacha tu kuishusha sababu ya kiburi cha Wizara au Serikali tu imekataa, hatujashusha kwasababu kuna nambo mengi ya msingi tunatekeleza." "Ukishusha 2% ya VAT unapoteza...
  4. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo ni kweli zile bilioni 600 za maji zilitosha?

    Picha: Prof. Kitila Mkumbo Habari Prof! Njoo hapa tuambie, ulipokuwa Katibu Mkuu Wizara ya maji, bajeti ya wizara yako ilikuwa bil 600. Wadau walipokuuliza kama zitatosha, ulijjibu ndiyo. Mbona leo shida ya maji bado ni kubwa sana? Ile ilitosha kwenye kitu gani au Ubungo tu? ANGALIZO...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…