Ridhika na ulichonacho, usitamani cha mtu, utavuliwa ubingwa soon.Nmejiuliza sana hili swali muda huu nikiwa napata chai na vitumbua +maharage mahali
Eti mtu anawekeza mahali bilioni 600, mtu anajenga jumba la bilioni 10, mtu ana drive gari la bilioni 20...tupeni basi connection dah ...
Nmejiuliza sana hili swali muda huu nikiwa napata chai na vitumbua +maharage mahali
Eti mtu anawekeza mahali bilioni 600, mtu anajenga jumba la bilioni 10, mtu ana drive gari la bilioni 20...tupeni basi connection dah ...
Tuanze na wewe kwanza, kwa mwezi unatengeneza kiasi gani nje ya mshahara.Nmejiuliza sana hili swali muda huu nikiwa napata chai na vitumbua +maharage mahali
Eti mtu anawekeza mahali bilioni 600, mtu anajenga jumba la bilioni 10, mtu ana drive gari la bilioni 20...tupeni basi connection dah ...
Nmejiuliza sana hili swali muda huu nikiwa napata chai na vitumbua +maharage mahali
Eti mtu anawekeza mahali bilioni 600, mtu anajenga jumba la bilioni 10, mtu ana drive gari la bilioni 20...tupeni basi connection dah ...
Masheikh na wachungaji baadhi Wana life gumu acha tu ya mungu mengi, Kuna sheikh nilimuonea insta anafindisha watu ukitaka kuwa tajiri na hela Hadi uogopwe soma Dua hii, ukimuangalia sheikh ndala zimeisha upande, mungu humpa amtakaye na umdhikisha amtakayeMathayo 7:7
Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa;
Kwa africa wengi wao ni mafisadi au washirika wa mafisadiNmejiuliza sana hili swali muda huu nikiwa napata chai na vitumbua +maharage mahali
Eti mtu anawekeza mahali bilioni 600, mtu anajenga jumba la bilioni 10, mtu ana drive gari la bilioni 20...tupeni basi connection dah ...
Ukitaka kufanikiwa sikia sauti ya MunguSawa mtumishi...ngoja tuombe hayo mabilioni mtumishi. .
Hakuna kitu kama icho, watu wanamacho yakuona wapi hela ipo. Kwa kutoa solution na kucash in. Wewe kama huna jicho ilo basi usiwavishe watu ubaya.Kwa africa wengi wao ni mafisadi au washirika wa mafisadi
Nadhan code ya tatu ndio nayoitafuta sana...Tafuta Directors/ Managers/ Heads wote wa Procurement Directorate & Units Serikalini, Taasisi za Umma na Vyombo vya Dola, waambie biashara unayoifanya halafu tanguliza 10% kwa Kila Tenda itakayotangazwa NeST ....mbona fasta tu unakuwa Bilionea.
Pili, watafute mawaziri wenye dhamana ya kutoa vibali mfano Waziri wa Kilimo akupe kibali cha kuagiza Sukari Tani 1000 Kila Mwaka, Waziri wa Utalii akupe kibali cha kuwinda Tembo, Waziri wa madini akupe kibali cha kuchoma madini huko Morogoro, n.k. mbona unakuwa Bilionea Fasta.
Code ya Tatu nitakupa siku ukifanikiwa kunipa mrejesho...